Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Tutaheshimiana tu mbona..ni nginja nginja..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa waganga wa kienyeji wako huru na hawa watumishi wachie uhuru waoHawa Watimishi maslahi wadhibitiwe maana wanawadhulumu tu Waumini wao..wasilete vitisho mbuzi.
Yule Mwa Mpesa alisababisha vifo kule Moshi lakini kaachwa huru kabisa kana kwamba hakuna Wananchi hawana Msimamizi ambaye ni Serikali.
Siro na Diwani siyo watawala ni watumishi wa umma. Rudi tena darasani kajifunze.
mtajiuliza kwanini JPM akiwa Rais hata afanye nini hawa walikuwa hawanyanyui mdomo?...kuna mambo magumu sana kwenye kuingoza hii nchi, tuwe makini sana..
Hatuwezi jifunza namna ya kuendesha taasisi za kidini kutoka Rwanda
Inamaana kina Askofu Mwamakula, Niwemugizi, Bandekile, Shoo na wengine ulikuwa hawasikii wakitoa misimamo yao wakati wa JPM ??
hao walikuwa wafuasi wa CDM.....
Wa nini na uzee ule?Siloh kaahidiwa ubunge
Kwani maovu ya ccm hii ni haya ya Mbowe tu? Why now wakati Magufuli alifanya mabaya kuliko?Viongozi wengi wa din hawafurahishwi na serikali kumfunga mbowe. Hapo wanafikisha ujumbe ki utuuzima.
Akili zitawaingia sasa.Mzee ameingia taharuki kutokana na ile taarifa iliyotoka hapa karibuni kuhusu usajili wa haya Makanisa, kuhakiki uongozi, haki za Waamini na michango/sadaka zao n.k.
Ilikuwa lazima achimbe hilo biti kwa maana yeye ni miongoni wa Matapeli wanaoneemeka na mfumo holela wa kumiliki Makanisa na kujipa mamlaka zote juu ya Waumini wakitumia jina la Mungu.
Mimi naunga mkono serikali kupitia upya mifumo ya haya makanisa uchwara na kuwasaidia "Kondoo" wanaochezewa na hawa Viongozi wao.
Na si kweli kwamba Wakristo wote watahamaki kwani hakuna shida kwenye Makanisa yote rasmi kama Catholic, KKT, Pentekoste, Sabato n.k...hili litawaudhi tu Yeye, Gwajima, Kakobe, Mwamposa and the likes.
Kuna mtu pale? Alipita bila kupingwa ujueUjumbe ufanyiwe kazi Comrade majaliwa nakuamini sana bro usibadilike
Ww acha polojo hata wakienda wamevaa nn ila tu wasiwe uchi hakuna kosa maana wameenda kwa Mungu ila ww kenge mmoja unataka kumuwekea Mungu mipaka km umekua Mungu mtuKila chama kikianza kuvaa sare zake makanisani unaona ni sawa hiyo? Unaenda kusali na tisheti nyekundu na kofia juu, vyote vimeandikwa Katiba mpya movement!! Huo ni ujinga na kuprovoke watu bila sababu, kwa nini wasingevaa kama wengine then waende kumuombea Mwamba? BTW kumuombea mtu lazima yawe matangazo? Si mnaweza omba kimya kimya na maombi yakafika
hii haijwai tokea, hata magufuri na ukatili wake wote alikuwa anahesimu nyumba za ibada, nafikiria samia hajui hakuna yeyote aliyewai cheza na mungu akabaki salamaWatu wenye busara hawawezi kuingia makanisani na kuanza kusachi waumini eti umevaa rangi gani ya nguo, kama unawasiwasi utasubiri ibada iishe then uonane nao. Kitendo cha kuvuruga ibada maeneo mbalimbali ikiwemo Mbeya na mwanza ndicho kinacho waibua hao akina Mkwawa/Lusekero kukataa hayo madhambi yenye laana.
i know who will get ccm out of power, watch this spaceKwa sasa hayupo wa kuitoa CCM madarakani labda mwaka 2050. Sababu ni kwamba hatuna vyama vya upinzani vya kweli.
naumia sana nikiona kule tunaelekea mkuuHadi mzee wa upako ameonya kweli hali ni tete. Huenda nchi yetu ikawa kama sudani sasa.