Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Madhehebu zimekuwa nyingi kama uyoga mwituni, 99% ya hizo ni za matapeli tu wanaowaibia wadanganyika.
Wazipige marufuku zinawatia watu ujinga tu.
 
Hawa Watimishi maslahi wadhibitiwe maana wanawadhulumu tu Waumini wao..wasilete vitisho mbuzi.

Yule Mwa Mpesa alisababisha vifo kule Moshi lakini kaachwa huru kabisa kana kwamba hakuna Wananchi hawana Msimamizi ambaye ni Serikali.
Ikiwa waganga wa kienyeji wako huru na hawa watumishi wachie uhuru wao
 
Siro na Diwani siyo watawala ni watumishi wa umma. Rudi tena darasani kajifunze.


Actually hata hao wengine ni Viongozi wetu na sio watawala wetu maana tulishapa Uhuru toka mikoani mwa Wakoloni.

Watu mnaowapa ridhaa ya kutuongoza kwa njia ya kupiga kura au kikatiba wanakuwaje wetu labda ?

Hii zana haijaekeweka miongoni mwa waTZ wengi .

Neno β€œ Viongozi β€œ linafaa zaidi kuliko watawala.

Wengine wakiitwa watawala mabega yanaweza kuzidi kupanda na kuwa kibr?!!
 
mtajiuliza kwanini JPM akiwa Rais hata afanye nini hawa walikuwa hawanyanyui mdomo?...kuna mambo magumu sana kwenye kuingoza hii nchi, tuwe makini sana..


Inamaana kina Askofu Mwamakula, Niwemugizi, Bandekile, Shoo na wengine ulikuwa hawasikii wakitoa misimamo yao wakati wa JPM ??
 
Viongozi wengi wa din hawafurahishwi na serikali kumfunga mbowe. Hapo wanafikisha ujumbe ki utuuzima.
Kwani maovu ya ccm hii ni haya ya Mbowe tu? Why now wakati Magufuli alifanya mabaya kuliko?
 
Akili zitawaingia sasa.
 
Mwambieni akae kimya hakuna jiwe litakalosalia.
Aliona hayamhusu sasa amepatikana.
 
Ww acha polojo hata wakienda wamevaa nn ila tu wasiwe uchi hakuna kosa maana wameenda kwa Mungu ila ww kenge mmoja unataka kumuwekea Mungu mipaka km umekua Mungu mtu
 
hii haijwai tokea, hata magufuri na ukatili wake wote alikuwa anahesimu nyumba za ibada, nafikiria samia hajui hakuna yeyote aliyewai cheza na mungu akabaki salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…