Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtu wa ccm tu mwenye itikadi za kisukuma gang( sio lazima awe msukuma kwa kabila)Sio rahisi kufuta kanisa la mzee wa upako, huyo ni mtu wao na jamaa huwa ana hesabu kali mkuu
SahihiUshauri wa mzee wa upako una refer tukio la Hivi katibuni la Taliba na Afghan. Kwamba wananchi wakiungana na jeshi linakiwa pamoja nao. Ukijiuliza swali ilikuwaje kikundi kinachodaiwa kuwa cha kigaidi kilipata nguvu wapi kiasi cha kushika dola nchi nzima ndani ya masaa 24?? Je kiliwezaje kushika maeneo muhimu ya Ulinzi kama Jeshi, Polisi na Usalama wa taifa bila kukutana na upinzni?? Huoni kama Watu wa jeshi, Polisi na usalama waliungana na Taliban movement?
Mfano mwingine ni ule wa juzi Zambia. Chama tawala kuondoka madarakani maana yake Mapolisi, Wanajeshi na mahakama pamoja na usalama wa taifa la Zambia walijiondoa kwenye kutumika na wanasiasa Sanduku la Kura likaleta matokeo.
Funzo ni kwamba unyanyasaji unapozidi Hata hivyo vyombo vya dola tunaishi navyo
Mtawala anapokuwa amezungukwa na mabunduki na mizinga huwa anajiona kama Mungu. Ukimnyang'anya tu ile basitola yake hata ngumi haziwezi. Wachunge sana. Nchi ni yetu sote.
Katika hali ya kushangaza, siku zote mzee wa Upako huwa upandevwa serikali.
Lakini leo ameamua kuvunja ukimya na kuinyoshea serikali kidole tena kwa ukali kuwa ijihahadhari isijekuharibu amani ya Tanzania.
Wakati akitoa angalizo hilo, amewataja kwa majina akianza na Kasim Majaliwa waziri mkuu, Rais Samia na Mpango.
Amewakumbusha kuwa sio vyama vya upinzani pekee huleta machafuko bali hata serkali huwa ni chanzo cha machafuko.
Ameonya kuwa uonevu ukizidi hata askari taratibu huungana na raia kinyume cha watawala kwani hata wanao onewa ni jamaa zao na maaskari.
Zaidi ameionya serikali kujiepusha na kuingilia mambo ya kidini kwani hata wakizifuta imani za dini ziko mioyoni mwa watu na sio kwenye usajili wa kiserikali.
Amekumbusha kuwa miakq ya 80 serikali ilijaribu kufuta usajili wa makanisa hata kuwafunga wengine lakini ilishindwa na tena wakristo waliungana.
Amesema watu wa imani moja huungana wakati wa kuonewa hivyo wajihadhari na jambo hilo.
Amesema kwasasa serikali ina matatizo makubwa kisiasa, corona nk kwa hiyo isiongezee mzigo wa kidini haitabaki salama.
Zaidi msikilize hapo chini kwenye link.
Una manisha nini?Unajua kuwa mzee wa upako ni mzizi mkavu?
mwanaccm?Mwenzao huyo
Kumbe anatuzuga tu😅😅Mtu wa diwani
Yule alikuwa mnafiki tu kujifanya ni mtu wa Mungu.Unataka tumshitukie?
Hivi JPM alisali kwake kwa umuhimu gani?
KhaaaaNaye aambiwe aache kuwaonea na kuwanyonya ndondocha.