Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Katika hali ya kushangaza, siku zote mzee wa Upako huwa upandevwa serikali.
Lakini leo ameamua kuvunja ukimya na kuinyoshea serikali kidole tena kwa ukali kuwa ijihahadhari isijekuharibu amani ya Tanzania.

Wakati akitoa angalizo hilo, amewataja kwa majina akianza na Kasim Majaliwa waziri mkuu, Rais Samia na Mpango.

Amewakumbusha kuwa sio vyama vya upinzani pekee huleta machafuko bali hata serkali huwa ni chanzo cha machafuko.

Ameonya kuwa uonevu ukizidi hata askari taratibu huungana na raia kinyume cha watawala kwani hata wanao onewa ni jamaa zao na maaskari.

Zaidi ameionya serikali kujiepusha na kuingilia mambo ya kidini kwani hata wakizifuta imani za dini ziko mioyoni mwa watu na sio kwenye usajili wa kiserikali.

Amekumbusha kuwa miakq ya 80 serikali ilijaribu kufuta usajili wa makanisa hata kuwafunga wengine lakini ilishindwa na tena wakristo waliungana.

Amesema watu wa imani moja huungana wakati wa kuonewa hivyo wajihadhari na jambo hilo.

Amesema kwasasa serikali ina matatizo makubwa kisiasa, corona nk kwa hiyo isiongezee mzigo wa kidini haitabaki salama.
Zaidi msikilize hapo chini kwenye link.

1. Nchi ina matatizo makubwa kisiasa na serikali inajua.
2. Nchi ina matatizo makubwa na Corona na serikali inajua.
3. Serikali wasitake kuleta chokochoko.
4. Chokochoko si wapinzani peke yao.
5. Serikali wafuate sheria (katiba), si kuzuia tu.
6. Kama Rwanda? Kama Afghanistan? Hapa ni Tanzania.
7. Yuko wapi Lungu? Iko wapi Afghanistan?
8. Ewe Majaliwa, Samia na huyu bwana mkubwa Philipo nani?

Hiiiiii bagosha!

Barikiwa sana mzee wa upako.
 
Wapinzani wana chokochoko gani?
 
Huu ni upako haha
 
Weee mpumbavu hii nchi sio ya shangazi yako . Dini zetu tunaamin iman zetu Leo hii polisi wanaingia Kanisani tena Roma wanabeba watu hii ni mara ya pili walianzia mbeya

Taifa letu sote tunawajibika kulinda umoja wetu na tunu ya ya Amani ya nchi yetu
Kila chama kikianza kuvaa sare zake makanisani unaona ni sawa hiyo? Unaenda kusali na tisheti nyekundu na kofia juu, vyote vimeandikwa Katiba mpya movement!! Huo ni ujinga na kuprovoke watu bila sababu, kwa nini wasingevaa kama wengine then waende kumuombea Mwamba? BTW kumuombea mtu lazima yawe matangazo? Si mnaweza omba kimya kimya na maombi yakafika
 
Anasema Tanzania sio kama Rwanda na haifanani na huko kwingine halafu anaifananisha na Zambia au Afghanistan!
Kilaza tu.
1. Nchi ina matatizo makubwa kisiasa na serikali inajua.
2. Nchi ina matatizo makubwa na Corona na serikali inajua.
3. Serikali wasitake kuleta chokochoko.
4. Chokochoko si wapinzani peke yao.
5. Serikali wafuate sheria (katiba), si kuzuia tu.
6. Kama Rwanda? Kama Afghanistan? Hapa ni Tanzania.
7. Yuko wapi Lungu? Iko wapi Afghanistan?
8. Ewe Majaliwa, Samia na huyu bwana mkubwa Philipo nani?

Hiiiiii bagosha!

Barikiwa sana mzee wa upako.
 
Anasema Tanzania sio kama Rwanda na haifanani na huko kwingine halafu anaifananisha na Zambia au Afghanistan!
Kilaza tu.
Si ufungue link usikikize? Unapwaya mkuu
 
Anasema Tanzania sio kama Rwanda na haifanani na huko kwingine halafu anaifananisha na Zambia au Afghanistan!
Kilaza tu.

Kuwavaa hawa watu yataka uchaguzi wa maneno.

Mzee wa upako kafanya vyema sana na ni wa kupongezwa!

Huyu kafanya wazi wala si kwa fake ID. Jiulize wewe umefanya nini?

Mzee wa upako si kilaza!
 
huwezi fananisha wakati wa JPM na sasa kwenye swala la imani ya wananchi kwenye serikali yao, hizi ni tawala mbili tofauti ,kumbuka wakati wa JPM aliyekuwa hapendi uongozi wa JPM ni watu waliokuwa na maslai binafsi na wanasiasa wa upinzani tu lakini kiuhalisia almost watanzania wote walikuwa na imani na uongozi wake tofauti na sasa serikali inaonekana kana kwamba inaenda kukompromise imani yao kwa watanzania ,mfano mzuri aliotolea mzee wa upakao ni swala la tozo. kiufupi wakati wa JPM hakuna namna watanzania walikua wana furaha na uongozi wa JPM.
EeenHeee!

"...lakini kiuhalisia almost watanzania wote walikuwa na imani na uongozi wake...."

"...kiufupi wakati wa JPM hakuna namna watanzania walikua wana furaha na uongozi wa JPM."

Hivi nyinyi watu siku hizi mnaokotwa pori gani, maanake ni kama huko hata mwanga haupo kabisa!

Na unajiita "Dr Dre"!
 
Nimeshangaa mno
 
Kwa hekima na busara za mzee wa upako hiyo ni kuwaitisha watawala kujitathmini maana nyani haoni k*ndule.
Mzee wa upako hapiganii haki na usawa kwa watu wote au kwa sababu anaipenda sana Tanzania. Anofokafoka na kutokwa na povu kwa sababu ya taarifa za taratibu mpya za 'usajili' zilizozimika ghafla na pia kuhisi kusogezwa mbali na meza kuu tofauti na miaka tano iliyopita.
 
Kila mtu hata wewe unaangalia maslahi yako, yakiguswa hatuwezi kuongea lugha moja
 
Hata shetani akibadilika anakaribishwa pia.

M@vi ya kale hayanuki.

Kila sauti sasa hivi hata ya bwana @chahali iliyo na mashiko tunaihitaji.

Barikiwa sana mzee wa upako.
Hata wasiojulikana wakitubu tunawakaribisha kundini, Yesu alitoa mfano bora wa mwana mpotevu kurudi nyumbani na kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom