Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Mchungaji Anthony Lusekelo, aionya Serikali ya Rais Samia juu ya amani ya Tanzania

Katika hali ya kushangaza, siku zote mzee wa Upako huwa upandevwa serikali.
Lakini leo ameamua kuvunja ukimya na kuinyoshea serikali kidole tena kwa ukali kuwa ijihahadhari isijekuharibu amani ya Tanzania.

Wakati akitoa angalizo hilo, amewataja kwa majina akianza na Kasim Majaliwa waziri mkuu, Rais Samia na Mpango.

Amewakumbusha kuwa sio vyama vya upinzani pekee huleta machafuko bali hata serkali huwa ni chanzo cha machafuko.

Ameonya kuwa uonevu ukizidi hata askari taratibu huungana na raia kinyume cha watawala kwani hata wanao onewa ni jamaa zao na maaskari.

Zaidi ameionya serikali kujiepusha na kuingilia mambo ya kidini kwani hata wakizifuta imani za dini ziko mioyoni mwa watu na sio kwenye usajili wa kiserikali.

Amekumbusha kuwa miakq ya 80 serikali ilijaribu kufuta usajili wa makanisa hata kuwafunga wengine lakini ilishindwa na tena wakristo waliungana.

Amesema watu wa imani moja huungana wakati wa kuonewa hivyo wajihadhari na jambo hilo.

Amesema kwasasa serikali ina matatizo makubwa kisiasa, corona nk kwa hiyo isiongezee mzigo wa kidini haitabaki salama.
Zaidi msikilize hapo chini kwenye link.

Nimemuelewa sana. Ana hoja nzito.
Samia aisikie sauti ya Mungu hiyo kupitia kwa Mzee wa Upako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata angeongea wakati anakata roho ujumbe huu unatosha
Tumeziba masikio🙉🙉,haiwezekani aanze kuikosoa serikali baada ya kuona serikali haimpi favour katika Mambo yake binafsi!
Mimi mwananchi wa kawaida siioni hiyo hatari anayoizungumzia mzee wa upako!

Mama SSH chapa kazi,wananchi tuko nyuma yako
 
nikuridishe kwenye point. JPM alijenga imani ya wananchi kwa serikali yao.hata kama kuna wachache waliokuwa wanaumia na uongozi wake lakini hukusikia watanzania wakiwa na hofu na uongozi wake .refer alivyoshugulika na swala la covid , watanzania walikua nae bega kwa bega katika maamuzi yake juu ya swala la covid ,haya ndugu yangu nikuulize hali ipoje kwa watanzania juu ya namna SSH ananyoshughulika na swala la covid ,ana support ya watanzania . jibu ni NO. watu bado wanapiga nyungu swala la chanjo hawataki kusikia. same kwenye swala la tozo . kupotea kwa kina ben saa nane usifikiri kuwa ni watanzania wote waliumia ,kuminywa kwa uhuru wa siasa usifikiri watanzania walikua wana time na siasa zao . watanzania walikua na imani na raisi wao. tofauti na sasaa

1. Kwamba JPM na Corona? Unadhani JPM aliungwa mkono kwenye Corona na watanzania wote?

IMG_20210718_063455_991.jpg

2. Msimamo wa JPM na Corona uliungwa mkono na wajinga na wanafiki. Hao ndiyo waliokuwa wapiga nyungu.

IMG_20210614_192655_399.jpg

Watu wangapi akiwamo yeye walipoteza maisha kwenye ujinga wake huu na Corona?

IMG_20210418_164416_802.jpg

3. Wangapi waliachana na ujinga wake hata kabla hajazikwa?

4. SSH hana support ya wajinga wale wale kwenye Corona kwa sababu ya kuwakumbatia watendaji wale wale hasa kwa wizara ya afya ili kuleta mtizamo tofauti. Hawaaminiki.

IMG_20210725_012351_122.jpg

3. Kwamba watanzania hawakuumia na kupotea kwa Ben Sanane? Wangapi walijua tulikuwa na mtu anaitwa Ben na hata kuwa alipotea, kwenye media industry hii iliyokuwa suffocated kama iliyopo?
4. Kwani hujui kuwa watu wengi sana walifurahi mno kutokana na kifo cha JPM kiasi cha sherehe hata za kawaida tu kupigwa marufuku kuhofia kuadhimishwa kifo chake kwa kuserebuka?
5. Tofautisha nyie kina Sabaya na ndugu na jamaa wa akina Azory, Ben, Mawazo, Lissu na wote waliokumbana na ushetani usiovumilika wa JPM.

IMG_20210513_200524_882.jpg

Nyie mliokuwa mkifanya naye ujambazi lazima mlie machozi ya damu. Si kawaacha yatima?

IMG_20210328_223958_589.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
1. Kwamba JPM na Corona? Unadhani JPM aliungwa mkono kwenye Corona na watanzania wote?

View attachment 1897463

2. Msimamo wa JPM na Corona uliungwa mkono na wajinga na wanafiki. Hao ndiyo waliokuwa wapiga nyungu.

View attachment 1897458

Watu wangapi akiwamo yeye walipoteza maisha kwenye ujinga wake huu na Corona?

View attachment 1897459

3. Wangapi waliachana na ujinga wake hata kabla hajazikwa?

4. SSH hana support ya wajinga wale wale kwenye Corona kwa sababu ya kuwakumbatia watendaji wale wale hasa kwa wizara ya afya ili kuleta mitizamo sahihi. Hawaaminiki.

View attachment 1897460

3. Kwamba watanzania hawakuumia na kupotea kwa Ben Sanane? Wangapi walijua tulikuwa na mtu anaitwa Ben na hata kuwa alipotea, kwenye media industry hii iliyokuwa suffocated kama iliyopo?
4. Kwani hujui kuwa watu wengi sana walifurahi mno kutokana na kifo cha JPM kiasi cha sherehe hata za kawaida tu za watu kupigwa marufuku kuhofia watu kuadhimisha kifo chake?
5. Tofautisha nyie kina Sabaya na ndugu na jamaa wa akina Azory, Ben, Mawazo, Lissu na wote waliokumbana na ushetani usiovumilika wa JPM.

View attachment 1897461

Nyie mliokuwa mkifanya naye ujambazi lazima mlie machozi ya damu. Si kawaacha yatima?

View attachment 1897464

Hiiiiii bagosha!
Hii bagosha umekandamizia sana
 
Tumeziba masikio[emoji86][emoji86],haiwezekani aanze kuikosoa serikali baada ya kuona serikali haimpi favour katika Mambo yake binafsi!
Mimi mwananchi wa kawaida siioni hiyo hatari anayoizungumzia mzee wa upako!

Mama SSH chapa kazi,wananchi tuko nyuma yako
Ana uhuru wa kusema na amesema sasa, sio lazima ukubaliane naye
 
Hamjifunzi tu kwa Mange, Chahali, Nyalandu, Gwajima, Kakobe, Lowassa na Kigogo?
Hamuwezi kutofautisha watu wenye misimamo ya kweli na wakosa fursa wenye gubu tu ?

Mzee wa upako atawashangaza baada ya mfupi tena.

Gurudumu lazima lizunguke kwenda mbele. Yeyote atakayesaidia kulizungusha kwenda mbele anakaribishwa. Yeyote atakayelizuia kwa wakati huo hata kama ni Mbowe atakuwa hafai.

Lowassa, Nyalandu, Mashinji, Nassari, Silinde nk walipokuwa wa muhimu tulifurahi kuwa nao kama ambavyo tulivyofurahi kutokuwa nao walipokuwa mizigo.

Mmoja asidhani kuwa ni wa muhimu siku zote na kwa kila hali.

Hapo ndipo walipo akina Mdee.

Mwana mpotevu alirudi kwa baba yake akapokelewa. Mwana mwema akachukia na kupotea jumla.

Vita hivi vinataka akili.

Mandela hakuwatosa kina Buthelezi. Kuna aliyekuwa msaliti kuliko hao?

Tupigane vita na akili kichwani. Tunahitaji watu. Magereza yatajazwa na watu na hapo ndipo uhuru kamili utakapokuja.
 
Gurudumu lazima lizunguke kwenda mbele. Yeyote atakayesaidia kulizungusha kwenda mbele anakaribishwa. Yeyote atakayelizuia kwa wakati huo hata kama ni Mbowe atakuwa hafai.

Lowassa, Nyalandu, Mashinji, Nassari, Silinde nk walipokuwa wa muhimu tulifurahi kuwa nao kama ambavyo tulivyofurahi kutokuwa nao walipokuwa mizigo.

Mmoja asidhani kuwa ni wa muhimu siku zote na kwa kila hali.

Hapo ndipo walipo akina Mdee.

Mwana mpotevu alirudi kwa baba yake akapokelewa. Mwana mwema akachukia na kupotea jumla.

Vita hivi vinataka akili.

Mandela hakuwatoa kina Buthelezi. Kuna aliyekuwa msaliti kuliko hao?

Tupigane vita na akili kichwani. Tunahitaji watu. Magereza yatajazwa na watu na hapo ndipo uhuru kamili utakapokuja.
Hahaha mwamba umwkomaa naye kwelikweli
 
Ana uhuru wa kusema na amesema sasa, sio lazima ukubaliane
Mi sijamzuia kusema, kwani anaweza akasema na asisikike na aliowatarget kwasababu hawana muda wa kumsikiliza mtu aliyejikatia tamaa

Kipindi kile nchi inahitaji aseme yeye aliimba nyimbo za sifa kwa Magufuli,adhabu ya msaliti na mnafiki ni kifo Cha bila AMANI ya moyo wake.
 
Ushauri wa mzee wa upako una refer tukio la Hivi katibuni la Taliba na Afghan. Kwamba wananchi wakiungana na jeshi linakiwa pamoja nao. Ukijiuliza swali ilikuwaje kikundi kinachodaiwa kuwa cha kigaidi kilipata nguvu wapi kiasi cha kushika dola nchi nzima ndani ya masaa 24?? Je kiliwezaje kushika maeneo muhimu ya Ulinzi kama Jeshi, Polisi na Usalama wa taifa bila kukutana na upinzni?? Huoni kama Watu wa jeshi, Polisi na usalama waliungana na Taliban movement?

Mfano mwingine ni ule wa juzi Zambia. Chama tawala kuondoka madarakani maana yake Mapolisi, Wanajeshi na mahakama pamoja na usalama wa taifa la Zambia walijiondoa kwenye kutumika na wanasiasa Sanduku la Kura likaleta matokeo.

Funzo ni kwamba unyanyasaji unapozidi Hata hivyo vyombo vya dola tunaishi navyo
Mtawala anapokuwa amezungukwa na mabunduki na mizinga huwa anajiona kama Mungu. Ukimnyang'anya tu ile basitola yake hata ngumi haziwezi. Wachunge sana. Nchi ni yetu sote.
Na vyama vya upinzani viache ugaidi na ukabila na upuuzi wa kushangilia vifo vya viongozi vinginevyo mtaishia kukesha kwenye mitandano kutema nyongo huku miaka ikiyoyoma
 
Nawe ulikuwa na maslahi na JPM.
Hakuna kiongozi amepuyanga bila kujua analipeleka wapi yaifa kama JPM.
Huyo jamaq alikuwa na roho mbaya sana japo...narudia japo angeendelea na uongozi miaka mingine mitano angetufanya majasiri na wa bunifu lkn halikuwa lengo lake.

Kumbuka wakati wa mateso watu huwa na njia mbadala za kuishi.

Marudia Jpm alikuwa na roho chafu...japo alikuwa na mazuri sana machache pamoja na uchapaji kazi.
Wewe ndio una roho chafu. Ulikuwa mpiga dili ukabanwa sasa bado unatapatapa. Huna lolote wewe. Hakuna kama JPM huo ndio ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom