Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha faller wewe, ntapiga dili kazini kwangu?Wewe ndio una roho chafu. Ulikuwa mpiga dili ukabanwa sasa bado unatapatapa. Huna lolote wewe. Hakuna kama JPM huo ndio ukweli mchungu.
Mbowe atashinda urais kama Zambia.Hawanamuda mrefu kwenye vyeo, niamini
Katika hali ya kushangaza, siku zote mzee wa Upako huwa upandevwa serikali.
Lakini leo ameamua kuvunja ukimya na kuinyoshea serikali kidole tena kwa ukali kuwa ijihahadhari isijekuharibu amani ya Tanzania.
Wakati akitoa angalizo hilo, amewataja kwa majina akianza na Kasim Majaliwa waziri mkuu, Rais Samia na Mpango.
Amewakumbusha kuwa sio vyama vya upinzani pekee huleta machafuko bali hata serkali huwa ni chanzo cha machafuko.
Ameonya kuwa uonevu ukizidi hata askari taratibu huungana na raia kinyume cha watawala kwani hata wanao onewa ni jamaa zao na maaskari.
Zaidi ameionya serikali kujiepusha na kuingilia mambo ya kidini kwani hata wakizifuta imani za dini ziko mioyoni mwa watu na sio kwenye usajili wa kiserikali.
Amekumbusha kuwa miakq ya 80 serikali ilijaribu kufuta usajili wa makanisa hata kuwafunga wengine lakini ilishindwa na tena wakristo waliungana.
Amesema watu wa imani moja huungana wakati wa kuonewa hivyo wajihadhari na jambo hilo.
Amesema kwasasa serikali ina matatizo makubwa kisiasa, corona nk kwa hiyo isiongezee mzigo wa kidini haitabaki salama.
Zaidi msikilize hapo chini kwenye link.
Hapa Tanzania nani amezigusa?Hakuna mtawala yeyote hapa duniani aliyegusa imani za watu akabaki salama. Nyie jitoeni ufahamu tu.
Hujui kitu,Subiri Mbowe achukue nchi ndio ulete upuuzi.Wala haleti ujuha anaongea kweli.
Salama ya nchi ni kutogusa imani za watu.
Vita vyote husuluhishwa lkn vya kidini ni ngumu mno
Good kamandaHamjifunzi tu kwa Mange, Chahali, Nyalandu, Gwajima, Kakobe, Lowassa na Kigogo?
Hamuwezi kutofautisha watu wenye misimamo ya kweli na wakosa fursa wenye gubu tu ?
Mzee wa upako atawashangaza baada ya mfupi tena.
Nawe na vimaneno vyakoUkiona mawe yameanza kuzungumza ujue kumekucha
Chadema tunamatatizo.Muambie sasa huyo mzee wenu wa upako aache kutishia kuvurugika kwa amani ya nchi kwa sababu maslahi yake yameguswa
NitakukojoleshaNa hawara yako Sayaba atashinda kesi
Tulia utakojoa,usihofu.Nasikia una bwawa sana wewe manzi[emoji38]