Hivi huo mkoa hauna serikali? Mkuu wa mkoa anafanya nini na kuachia huu ujinga? Ni siku nyingi tumesikia hizi habari mbona hachukui hatua? Rais anafanya nini kumfukuza kazi mkuu wa mkoa?mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
Hao jamaa nao wanakuaga matapeli, wao pia wanakuaga wachawi wanawatoa tu wale wanaopingana nao ila kama ni chama lao wanakukaushiaKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndo mchawi mwenyewe
Sio jambo jema kuamini ushirikina Kuna watu wapumbavu wamesababisha mauaji makubwa nchi kwa sababu zisizo za msingiKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndo mchawi mwenyewe
Kanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndo mchawi mwenyewe
Hata wao wanaamini mungu wao ni uchawi, solution ni Kila mtu aamini mungu wake ila tusiingiliane au kulazimishana Imani zetu Kwa wengine, hao kamchape ni criminals tuu wana kesi ya kujibu washitakiwe haraka sana kukomesha hii tabiaAmani za kishirikina ni upuuzi, tumwamini Mungu mkuu.
Kigoma Kigoma Kigoma.Hawa wajinga sijui kamchape wanawalea mpaka lini huko?
Wajinga sio watu wa kuwachekea kabisa.
Kuamini Mungu na Kuamini ushirikina ni vitu vipo sawa na vinafanana yani ni kama shilling moja yenye pande mbili.Amani za kishirikina ni upuuzi, tumwamini Mungu mkuu.
Mungu hafananishwi na chochote.Kuamini Mungu na Kuamini ushirikina ni vitu vipo sawa na vinafanana yani ni kama shilling moja yenye pande mbili.
Funguka acha kukariri, Kila Jamii ina mungu wake, wachina Wana mungu wao, wahindi, waarabu, wazungu etc wana wa kwao pia, hata waafrica kabla ya ukoloni tulikuwa tuna mungu wetu, sasa Leo mmeletewa mungu na hao wazungu na waarabu mnaona hakuna mwingine, inabidi kutuma akili sana haya mambo ya Imani la sivyo utaonekana chizi tuu, Jamii nyingi sana zimeanza kushtukia huu usanii na hata hao wazungu waliowaletea huyo mungu wameanza kushtukia na kuachana na hayo mambo ya kufikirika na hadithi za watu wa kaleMungu hafananishwi na chochote.
...Kwa hiyo Kamchape ndio mungu Wetu ??..[emoji848][emoji848]Funguka acha kukariri, Kila Jamii ina mungu wake, wachina Wana mungu wao, wahindi, waarabu, wazungu etc wana wa kwao pia, hata waafrica kabla ya ukoloni tulikuwa tuna mungu wetu, sasa Leo mmeletewa mungu na hao wazungu na waarabu mnaona hakuna mwingine, inabidi kutuma akili sana haya mambo ya Imani la sivyo utaonekana chizi tuu, Jamii nyingi sana zimeanza kushtukia huu usanii na hata hao wazungu waliowaletea huyo mungu wameanza kushtukia na kuachana na hayo mambo ya kufikirika na hadithi za watu wa kale