Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

Hivi huo mkoa hauna serikali? Mkuu wa mkoa anafanya nini na kuachia huu ujinga? Ni siku nyingi tumesikia hizi habari mbona hachukui hatua? Rais anafanya nini kumfukuza kazi mkuu wa mkoa?
Tobias Andengenye ndiye mkuu wa mkoa wa kigoma,retired police officer, utapeli unafanyika mkoani kwake mbele ya macho yake. Cheo hicho kimekosa maana.
 
Back
Top Bottom