Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
KWENYE MAKANISA YA UPAKO KOTE KUMEZIKWA VITU VYA HATARI SANAKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndio mchawi mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWENYE MAKANISA YA UPAKO KOTE KUMEZIKWA VITU VYA HATARI SANAKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndio mchawi mwenyewe
Tobias Andengenye ndiye mkuu wa mkoa wa kigoma,retired police officer, utapeli unafanyika mkoani kwake mbele ya macho yake. Cheo hicho kimekosa maana.Hivi huo mkoa hauna serikali? Mkuu wa mkoa anafanya nini na kuachia huu ujinga? Ni siku nyingi tumesikia hizi habari mbona hachukui hatua? Rais anafanya nini kumfukuza kazi mkuu wa mkoa?
Aloooh...Unajua kabisa Mimi sio mchungaji, Acha ufala