Wachawi wamezidi huko waache washughulikiweHivi huo mkoa hauna serikali? Mkuu wa mkoa anafanya nini na kuachia huu ujinga? Ni siku nyingi tumesikia hizi habari mbona hachukui hatua? Rais anafanya nini kumfukuza kazi mkuu wa mkoa?
Imani ya kizamani sana hii. Ndugu yangu kama unaamini upuuzi kama huo basi uko kwenye janga kuu.
Sawa mkuuSijatumia lugha ngumu. Nimetumia lugha anayoelewa kirahisi
Pia Hawa kamchape , matokeo ya kazi wanayoonesha mara nyingi huwa si kitu halisi , ni viinimacho.Kigoma Kigoma Kigoma.
Tatizo kubwa linalosumbua Ni wivu miongoni mwa wananchi. Huwasingizia wenzao Ni wachawi Kwa kuwa wana maenseleo kuwazidi hivyo hula njama Na kuwaleta Kamchape ili wawadhalilishe wenzao.
Kamchape Kwa kuelewa udhaifu huo Wa wanachi huwaibia wanachi pesa mifugo n.k Kwa ajili ya shughuli hiyo ya kipumbavu kabisa.
Hakika inasikitisha Sana namna wanachi waliojawa Na wivu Wa kipumbavu huwatumia Kamchape ili wawadhalilishe wenzao simply wamewazidi kinaendelea au tu kutaka wadhalilike wenzao.
Kuna sehemu Kamchape hutonza Hadi 1500000 au 200000 Kwa kazi hiyo ya kijinga kabisa.
Wananchi Wa KIGOMA huona wivu uliopindukia aonapo mwenzake ameinuka. Hakika inasikitisha sana
Ukipata wasaa ingia YouTube Refer kwenye ziara ya makonda kwenye huo mkoa..Hivi huo mkoa hauna serikali? Mkuu wa mkoa anafanya nini na kuachia huu ujinga? Ni siku nyingi tumesikia hizi habari mbona hachukui hatua? Rais anafanya nini kumfukuza kazi mkuu wa mkoa?
Si Kigoma hiyo. Inaendana na walichonacho.Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
Kabla ya hivyo viboko, wangefikaje kwanza hukoKigoma kumejaa wajinga.
Hawa kamchape wangeenda uchagani waone viboko ambayo wangekula.
Ushirikina ni imani za wajinga
Ukipata wasaa ingia YouTube Refer kwenye ziara ya makonda kwenye huo mkoa..
Kuna sehemu alifika Kuna watu wakaibua izo mambo..kamanda wa police wa Eneo Ilo akaanza kutoa darasa la kukemea hayo mambo mbele ya makonda maraia wakaanza kuzomea...
Kuzomea ilipo kua too much Paul makonda akaingilia akauliza zoezi la kamchape liendelee au lisiendelee mayowe mengi ya maraia walisema zoezi liendelee makonda ikambidi akae kimya....
Nilitafakar Sana Hilo tukio hope still huko kigoma na sehemu nyingi za nchi yetu tupo Karne 16_17
Hatari sanaMchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
Jamii Kama izo hufanya INDOCTRINATION yaan huwezi kumbadilisha mtu Kama huyo...Imagine unaoa mke aliyokulia hayo mazingira yanayoamini kamchape
Jamii Kama izo hufanya INDOCTRINATION yaan huwezi kumbadilisha mtu Kama huyo...
Utawalaumu viongozi bure Mf. Herode kwenye mashitaka ya yesu ma raia walipiga mayowe na kelele ASULUBIWE ASULUBIWE mfalme herode akasema yeye hajaona kosa la yesu...Viongozi wa mkoa wa Kigoma wameshindwa kabisa kudeal na hao kamchape. Wawajibishwe.
Mkuu,Uislamu una mchango mkubwa sana kwenye hizo imani. Sehemu zote ambazo waislamu wapo wengi hizo imani zinakuwa juu na waganga wa kienyeji wanakuwa wengi sana.
Sehemu kama uchagani ama unyakyusani huwezi kupeleka hizo story za waganga kutoa uchawi nyumba kwa nyumba.. wanakijiji hawawezi kukubali
Bado yupo mrirhi yule wa kiberege alifariki, yaani mikikutuhumu naklipia gharama zoote na kula yako kule. Unajua zamani ilikuwa poa tuu.Bibi Kalembwana alikuwa na utaratibu unamfuata kwake au unamleta mtu kwa hiari yake mwenyewe halafu ananyolewa uchawi na ushirikina unakwisha.
Nilisikia bibi alishakufa akawarithisha mikoba wajukuu wanapiga kazi kilombero sasa