Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

Wananchi wapo sahihi, huko makanisani mahubiri ni hayo hayo ya ushirikina na uchawi, sasa kama kuna watu wanataka wawatoe wachawi na uchawi kwanini awazuie?
 
Sawasawa,huko kanisani ndio wanajifichaga wakimalizana na mchungaji wakashughulike na sheikh pia awatoe wa msikitini

Dada unaonekana smart sana. Nimeshamgaa sana kuona unasapoti mambo ya ushirikina.

Yaani unaamini hao waganga wana nguvu ya kutoa uchawi ?
 
Ukiwa maskini, utaamini kila madudu, utqmuona makonda kama suruhisho, mwamposa utqmuona kama yesu, kila kijana mwenye pesa kama Mond, utasema muuza madawa ya kulevya au Freemason,
Na ma ccm yanapenda tuwe hivi hivi, kama mazombie, maana mazombie hayajuhi kifstilia Mambo ya msingi,Mambo yetu ni yanga na Simba, Zuchu na Mond,
 
Wananchi wapo sahihi, huko makanisani mahubiri ni hayo hayo ya ushirikina na uchawi, sasa kama kuna watu wanataka wawatoe wachawi na uchawi kwanini awazuie?
Trespassing ni kosa kisheria, unaendaje kuchoma nyumba ya mchungaji? Si wangevunja tu kanisa wakatafute uchawi kulikua na haja gani ya kuvamia na kuchoma nyumba?
 
I am here boss wangu
Nikakumbuka Yale masimulizi yako ya Safari yako ya kikazi kule kigoma kuwahusu wale wazee watatu wakimya..

Nika relate na hizi habari za kamchape..

Nika conclude kigoma habar za kishirikina na matendo ya ushirikina na Imani za kichawi Ni kubwa mnoo
 
Nikakumbuka Yale masimulizi yako ya Safari yako ya kikazi kule kigoma kuwahusu sale wazee watatu wakimya..

Nika relate na hizi habari za kamchape..

Nika conclude kigoma habar za kishirikina na matendo ya ushirikina na Imani za kichawi Ni kubwa mnoo
Duuu usinikumbushe ile situation asee. Kule ni mwisho wa reli lkn kwa hii story pia ni mwanzo wa mauzauza
 
Kanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndio mchawi mwenyewe
Acha ujinga, hao kamchape hawana haki au sababu yeyote kisheria kuingia nyumba au kanisa lolote kusaka wachawi, hao ni majambazi mbele ya sheria , yamepiga watu na kuchoma mali, wana bahati bunduki na mimi havikuwepo kanisani
 
Hao wachungaji sijui manabii wengi wao wanaibia watu na wengine wanatumia nguvu za giza
 
Acha ujinga, hao kamchape hawana haki au sababu yeyote kisheria kuingia nyumba au kanisa lolote kusaka wachawi, hao ni majambazi mbele ya sheria , yamepiga watu na kuchoma mali, wana bahati bunduki na mimi havikuwepo kanisani
We ndio mchungaji?
 
Mkuu, upo Kigoma?

Jiahidi kufanyika sehemu ya mabadiliko ya huo mkoa kupitia wanafunzi wako. Nafikiri, Kigoma ni kati ya mikoa inayoongoza kwa imani za kishirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…