Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Wananchi wapo sahihi, huko makanisani mahubiri ni hayo hayo ya ushirikina na uchawi, sasa kama kuna watu wanataka wawatoe wachawi na uchawi kwanini awazuie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa,huko kanisani ndio wanajifichaga wakimalizana na mchungaji wakashughulike na sheikh pia awatoe wa msikitini
Ukiwa maskini, utaamini kila madudu, utqmuona makonda kama suruhisho, mwamposa utqmuona kama yesu, kila kijana mwenye pesa kama Mond, utasema muuza madawa ya kulevya au Freemason,Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
Trespassing ni kosa kisheria, unaendaje kuchoma nyumba ya mchungaji? Si wangevunja tu kanisa wakatafute uchawi kulikua na haja gani ya kuvamia na kuchoma nyumba?Wananchi wapo sahihi, huko makanisani mahubiri ni hayo hayo ya ushirikina na uchawi, sasa kama kuna watu wanataka wawatoe wachawi na uchawi kwanini awazuie?
Nikakumbuka Yale masimulizi yako ya Safari yako ya kikazi kule kigoma kuwahusu wale wazee watatu wakimya..I am here boss wangu
Duuu usinikumbushe ile situation asee. Kule ni mwisho wa reli lkn kwa hii story pia ni mwanzo wa mauzauzaNikakumbuka Yale masimulizi yako ya Safari yako ya kikazi kule kigoma kuwahusu sale wazee watatu wakimya..
Nika relate na hizi habari za kamchape..
Nika conclude kigoma habar za kishirikina na matendo ya ushirikina na Imani za kichawi Ni kubwa mnoo
BalaaDuuu usinikumbushe ile situation asee. Kule ni mwisho wa reli lkn kwa hii story pia ni mwanzo wa mauzauza
YesUnaelewa maana ya uchawi?
Acha ujinga, hao kamchape hawana haki au sababu yeyote kisheria kuingia nyumba au kanisa lolote kusaka wachawi, hao ni majambazi mbele ya sheria , yamepiga watu na kuchoma mali, wana bahati bunduki na mimi havikuwepo kanisaniKanisani kuna wachawi. Mchungaji kaona ataaibika. Ukute yeye ndio mchawi mwenyewe
Hao wachungaji sijui manabii wengi wao wanaibia watu na wengine wanatumia nguvu za gizaMchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi.
waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu kuingia kwenye maeneo ya kanisa.
Najiuliza kwanini watu Wa tanzania tunanaamini sana kwenye uchawi, Elimu itolewe ili Watanzania Tuache Imani za ushirikina. Imagine kwenye zama hizi za teknolojia bado kila nyumba inalipishwa 5000 na waganga wa kienyeji ili watoe wachawi
View attachment 2932691
We ndio mchungaji?Acha ujinga, hao kamchape hawana haki au sababu yeyote kisheria kuingia nyumba au kanisa lolote kusaka wachawi, hao ni majambazi mbele ya sheria , yamepiga watu na kuchoma mali, wana bahati bunduki na mimi havikuwepo kanisani
Unajua kabisa Mimi sio mchungaji, Acha ufalaWe ndio mchungaji?
Mkuu, upo Kigoma?Walikuja shuleni kutoa uchawi, wanakijiji waliwaleta, baadhi ya walimu tuliwagomea lakini wanakijiji wakashinikiza waingie wakatoe uchawi. Mara wakaingia ofisi ya mkuu wa shule na kudai wametoa uchawi wa mkuu wa shule na mwingine wakaufukua mbele ya shule. Walimu tusioamini uchawi tuliwaambia hatutaki ujinga wao na tutaripoti kwa mkurugenzi wa halmashauri kuwa tumevamiwa shuleni. Mchungaji hawezi kukubali upuuzi huo kwa mujibu wa imani ya kanisa lake. Huo ni uvamizi na hao wavamizi wanatakiwa washitakiwe kwa uchochezi
Ongezea Arusha na BukobaKigoma kumejaa wajinga.
Hawa kamchape wangeenda uchagani waone viboko ambayo wangekula.
Ushirikina ni imani za wajinga