Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Usagaji si issue, hiyo ni haki ya binadamu.

Hapa kuna issues mbili.

Unafiki. Kujifanya mtu wa dini sana kumbe hamna kitu bora hata Kiranga anayesema hakuna Mungu dunia inajua haamini Mungu.

Kitu cha pili, kushiriki haya matendo na watoto. Sijui huyo mtoto ana umri gani, ila kama under 18 hapo kuna kesi ya pedophilia.

Huko kwenye kusagana wakubwa wenyewe kwa wenyewe wasagane na kukoboana mpaka wachoke. Hayo ni mambo yao ya faragha hayatuhusu.
 
In short mafanikio yoyote kwa mwanamke yanampa uwendawazimu,siyo rahisi kukuta wanawake wengi waliofanikiwa wakibaki kama walivyokuwa mwanzo,kwanza hamna kabisa.

Kama ni kazi,ndoa,kipato kujulikana na wengi ktk wachache au kuaminiwa ktk kundi humuwehusha mwanamke kiasi anakuwa kama chizi.matendo ya aibu,kujikweza,kujiona bora au kuona wengine kama takataka vyote vinatokana na mafanikio ndiyo maana utakuta huyu kama mume walishaachana yeyote anakamata anagonga hata teja alimradi amsifie kwa lolote.
 
Dada amevunja heshima yake completely
 
Watajuana wenyewe Acha wfln wasaganee shauri zaooo wengine hatuna muda kuwafatilia hao wanaojifanya wacha mungu maana tulishawajua kitambo sana
Dini kichaka tu cha kuficha uchafu waooo ....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…