Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada amevunja heshima yake completelyUsagaji si issue, hiyo ni haki ya binadamu.
Hapa kuna issues mbili.
Unafiki. Kujifanya mtu wa dini sana kumbe hamna kitu bora hata Kiranga anayesema hakuna Mungu dunia inajua haamini Mungu.
Kitu cha pili, kushiriki haya matendo na watoto. Sijui huyo mtoto ana umri gani, ila kama under 18 hapo kuna kesi ya pedophilia.
Huko kwenye kusagana wakubwa wenyewe kwa wenyewe wasagane na kukoboana mpaka wachoke. Hayo ni mambo yao ya faragha hayatuhusu.
Hao mbusii sisini umewarudisha salama wewee?Oi jombaa mbona umekomaa sana na huyo dada? Au kakuchukulia demu wako?
Ila we jamaa😆😆😆Bila ya koneksheni yake hii post ni bure kabisa.
wekeni ushahidi wa video tupate kusadiki kuwa ni kweli mnacho-KINENA
Bila ya koneksheni yake hii post ni bure kabisa.
wekeni ushahidi wa video tupate kusadiki kuwa ni kweli mnacho-KINENA
Lakini mnahakikishaje haya mambo ni kweli?Dada amevunja heshima yake completely
Aisee!, hataro sana.Amenitengeneza a, huyu baba aah....
Amenitengeneza a, huyu baba aah..
Kwani mada inamzungumzia nanihakuna mahala Mchungaji ametaja Mtu, mnajuaje ni yeye?
Ameonywa, amekataa ......" amenitengeneza huyu babaaa"....Mbona huyo pastari anakosa hekima na busara, inakuaje anamlipua wakati hajamuita amuonye?
Ni chagua la mtu ili kuepukana na VVU.Hatari sana 🐒
Tulia wewe umbwaaHao mbusii sisini umewarudisha salama wewee?
Ndio nasema, katika hiyo video clip hakuna mahala alipomtaja Martha...amesema tu Mwimbaji wa nyimbo za injili.Kwani mada inamzungumzia nani
View attachment 3178960