Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Huyu mchungaji ni kichaa Kuna clip ilikuwa inasambaa huyu mchungaji akiwa anadai shangazi ni muisraeli na ndo aliyegundua satellite
 
Acha wafu wazikane wenyewe

Naona wachungaii na waumini feki wamefikiwa na Quur-Juwan ya kumkejeli Mungu
Longani huwezi kumuita mchungaji fake, hili ni jabali la Injili.
Sio mchumia tumbo ni mtj humble sana.
1. Ni mkweli sana
2. Mkemea dhambi
Note: babake ni Muisrael na nduguze wote wana uwezo mkubwa tu wa kifedha lkn amechagua injili
 
Video Ina miaka zaidi ya miwili, ila watu wanaiongelea utadhani imetoka Jana.
 
Ushahidi mwingine kwamba mungu hana control yoyote na kwenye maisha ya binadamu bali ni fiksi tu kama za Robin Hood na Jack wa the beanstalk.
 
Dah?! Pisi kali kama ile ni ya kufanya huo uchafu! Ajitokeze aseme ni kweli au ni uzushi tu. Huyu mwimbaji kuna bifu atakuwa kalifanya, si bure, mara hatoi hela kwa mama yake, mara usa..ji, soon ataibukiwa na kashfa nyingine. Ajisafishe tu, ana ukurasa wake mitandaoni
Mambo ya hovyo hajaanza huyo, ila kati ya wasanii wa gospels niliowaelewa kwa nyimbo nzuri miaka ya 2015 kurudi nyuma ni Christina shusho na Martha mwaipaja, miaka ya hivi karibuni hata wakitoa nyimbo mpya huwa hazinibariki kabisaaaa yaani naona kama bongo fleva tu, nyimbo hazina upako kabisa

Kweli uzinzi unaondoa kibali
 
Back
Top Bottom