Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
AnaeSi mpaka awe nae sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnaeSi mpaka awe nae sasa
Longani huwezi kumuita mchungaji fake, hili ni jabali la Injili.Acha wafu wazikane wenyewe
Naona wachungaii na waumini feki wamefikiwa na Quur-Juwan ya kumkejeli Mungu
Muwe mnanyamaza, huyu mchungaji ni mtu mwema tuHuyu mchungaji ni kichaa Kuna clip ilikuwa inasambaa huyu mchungaji akiwa anadai shangazi ni muisraeli na ndo aliyegundua satellite
Hii video sio ya Jana Wala leo kumjibu yule dada. Ni zaidi ya Miaka 2 tangu itokeKwahiyo Mchungaji ana kazi ya kumtangaza badala ya kumponya kiroho? Je ana utayari wa kwenda kutoa ushahidi mahakamani?
Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook
Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya Tanzania na kwa Africa kwa ujumla
Ushahidi: Tembelea Page hii Atuganile Mwakosya
Ushahidi wa Catherine:
View: https://www.instagram.com/reel/DDq7sjfNS9j/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Tazama Video hii
😂 😂 😂 😂 😂 😂Anasaga kwa kutumia mashine ya umeme au ya dizeli
hakuna mahala Mchungaji ametaja Mtu, mnajuaje ni yeye?
Amemlipua nani?au labda mjomba aliomba akakataliwa, si bure, anamuandama aisee
Naskia ana katoto ka kiume ila hamuomyeshi mitandaonialimtengeneza ameanza kujiharibu, hivi Martha ana mtoto?
Mambo ya hovyo hajaanza huyo, ila kati ya wasanii wa gospels niliowaelewa kwa nyimbo nzuri miaka ya 2015 kurudi nyuma ni Christina shusho na Martha mwaipaja, miaka ya hivi karibuni hata wakitoa nyimbo mpya huwa hazinibariki kabisaaaa yaani naona kama bongo fleva tu, nyimbo hazina upako kabisaDah?! Pisi kali kama ile ni ya kufanya huo uchafu! Ajitokeze aseme ni kweli au ni uzushi tu. Huyu mwimbaji kuna bifu atakuwa kalifanya, si bure, mara hatoi hela kwa mama yake, mara usa..ji, soon ataibukiwa na kashfa nyingine. Ajisafishe tu, ana ukurasa wake mitandaoni
Amenitoa nyuma, ameni2eka mbele.Amenitengeneza a, huyu baba aah....
Amenitengeneza a, huyu baba aah..
Mimi sipigani mwenyewe,Amenitoa nyuma, ameni2eka mbele.