LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
ni kweli, labda tuangalie ni nini kinasababisha anguko kubwa la waimbaji wa injili hususani wa kike, je ni kiburi cha uzima, ni fedha au uzinzi?Mambo ya hovyo hajaanza huyo, ila kati ya wasanii wa gospels niliowaelewa kwa nyimbo nzuri miaka ya 2015 kurudi nyuma ni Christina shusho na Martha mwaipaja, miaka ya hivi karibuni hata wakitoa nyimbo mpya huwa hazinibariki kabisaaaa yaani naona kama bongo fleva tu, nyimbo hazina upako kabisa
Kweli uzinzi unaondoa kibali