Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Mchungaji Atuganile Mwakyosa aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja akidai anafanya matendo machafu kinyume na tamaduni za Tanzania

Mambo ya hovyo hajaanza huyo, ila kati ya wasanii wa gospels niliowaelewa kwa nyimbo nzuri miaka ya 2015 kurudi nyuma ni Christina shusho na Martha mwaipaja, miaka ya hivi karibuni hata wakitoa nyimbo mpya huwa hazinibariki kabisaaaa yaani naona kama bongo fleva tu, nyimbo hazina upako kabisa

Kweli uzinzi unaondoa kibali
ni kweli, labda tuangalie ni nini kinasababisha anguko kubwa la waimbaji wa injili hususani wa kike, je ni kiburi cha uzima, ni fedha au uzinzi?
 
Jaribu la mtu si kama ni mtenda dhambi ila ni kikombe tuu lazima akinyweee
 
Martha mwenyewe kimyaaa. Kaa kimya mwaya😀
 
Inawezekana huyo mchungaji alisagwa kama ni kweli amesema hayo maana nimesoma title tu. Inabidi na yeye atubu. Vinginevyo ni mchungaji mpenda kiki na mchumia tumbo.
 
Mchungaji aanika machafu yote ya Martha Mwaipaja katika ukurasa wa Facebook

Mchungaji anadai Martha Mwaipaja anajihusisha na vitendo vichafu vya usa**ji) visivyokubalika ndani ya jamii ya Tanzania na kwa Africa kwa ujumla

Ushahidi: Tembelea Page hii Atuganile Mwakosya

Ushahidi wa Catherine:
View: https://www.instagram.com/reel/DDq7sjfNS9j/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Tazama Video hii

Je hilo ni jukwaa sahihi la kusigana?

Wenye akili tushajua maslahi binafsikwa upana wake hapo.
 
Dini zote zinakataza kueneza uchafu na aibu za watu
Je huyu ni mchungaji kweli?
Mbona mafundisho yanakataza huu unafiki na adhabu yake ni kali sana?
Yuko sahihi kwa mujibu wa neno hili

2 Timotheo 4: 2 "....... karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho."

Isaya 58:1 "Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao."
 
Back
Top Bottom