Mchungaji auawa na kikundi cha Waislam wenye itikadi kali baada ya Waislam watatu kuwa Wakristo

Nimeshawahi kusema na narudia, hii dini siyo ya hiyari
 
Ukipata nafasi ya kwenda kuishi na binadamu usiichezee, waafrika sio watu.
 
Sasa hii ndiyo dini gani ya kulazimishana? FaizaFoxy, Mohamed Said
 
2 Mambo ya Nyakati 15​

13 Na kwamba yeyote asiyemtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, awe kijana au mzee, mwanamume au mwanamke, sharti auawe.

Uwe unaweka za biblia pia ili usionekane mnafiki.
 
2 Mambo ya Nyakati 15​

13 Na kwamba yeyote asiyemtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, awe kijana au mzee, mwanamume au mwanamke, sharti auawe.

Uwe unaweka za biblia pia ili usionekane mnafiki.
Upuuzi mtupu. Hizi ni hadithi za kikoloni. Kwani sisi ni wa Israel? Basi na wakristo nao wakianza kuwaua waislam wasiomtii Mungu wa israel tutakuwa salama. Je wote tukiwa wapumbavu na makatili hivi dunia itakuwaje?
 
Islamophobia tu hakuna lolote.
 
Hicho chanzo ni uongo mtupu, ukisoma habari zake zote ni uzushi mtupu, wanazusha kwa kuwa wakristo wengi wanaingia Uislam.

Hao waongo tu wapika majungu.
 
Imeshawahi kusikia mkristo au myahudi ameuwa mtu kisa amebadili dini?
Kwa hiyo akili yako ilivyo mbovu wakifanya tukio waislamu maandiko ila kwenye biblia hauoni sio? Matukio mengi mbona yamefanyika ya kikatili kutumia biblia. Na hapo kuna passage zimeondolewa zinazosupport ukatili. Biblia kuna baadhi ya sehemu kwa ajili ya kujisafisha mkitoka maliwato mbona mkiulizwa hamtolei ufafanuzi.

View: https://youtu.be/lvKUOuYn1-c?si=K_S9vZs3B-MEXfkN
 
Upuuzi mtupu. Hizi ni hadithi za kikoloni. Kwani sisi ni wa Israel? Basi na wakristo nao wakianza kuwaua waislam wasiomtii Mungu wa israel tutakuwa salama. Je wote tukiwa wapumbavu na makatili hivi dunia itakuwaje?
Ukinukuu bibble wanakimbia kwenye ukoloni hahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…