Mchungaji auawa na kikundi cha Waislam wenye itikadi kali baada ya Waislam watatu kuwa Wakristo

Hivi tatzo huwa ni nini hasa, Mbona mkristo akisilimu hakuna tatizo ?

Juzi hapo Harmonize kaombewa tu, imekuwa ishu nzito sana
Kuna watu wanapewa mafundisho ya kishetani halafu wanaamini ni mafundisho ya Mungu!

Uislam na waislam wana kazi kubwa ya kujitenga na ushetani. Shetani kwa kiasi kikubwa amejijenga ndani ya uislam kiasi cha kuitumia dini ya Kiislam kutimiza adhima yake ya kuhakikisha wengi wanaishia jehanamu.

Kuna majitu yanatumikia himaya ya shetani lakini wanapotimiza hilo wanadai ni uislam wa msimamo mkali. Hakuna uislam wa msimamo mkali, huo ni ushetani.
 
Yule dada wa Iran alieacha nywele kidogo zikaonekana. Akakamatwa na polisi wanaitwa wa maadili, wakamuulia Kule sero! Ayatolah ni mpumbavu sana!
Kuna mstari mwembamba sana kati ya baadhi ya mafundisho ya uislam, hasa washia, na himaya ya shetani.
 
Mkristo yeyote anayemuishi Kristo kifo kwake sio kitu sababu tunaamini tunalala ktk Kristo Yesu, kifo na kaburi haviumi.
Katika kitabu cha Wafilipi,Mtume Paul anasema kuwa, " Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.."
 
Mkristo yeyote anayemuishi Kristo kifo kwake sio kitu sababu tunaamini tunalala ktk Kristo Yesu, kifo na kaburi haviumi.
Waebrania 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Basi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo, ili kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani, Ibilisi,
¹⁵ awaache huru wale ambao kwamba maisha yao yote kwa hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa.
 
Aisee sio sawa hii.
Kuna yule msichana alietoka uislam kwenda ukristo alitandikwa viboko 100 na ndugu zake hukohuko Uganda.

Dini hizi mmh.
Wazungu siwapendi ila kuna muda naona Bora wao ndo wameshika Dunia, sipati picha nchi zenye dola za kiislamu ndo zingekua superpowers, tungesilimishwa wote kwa nguvu, kiufupi tungeisoma namba
Tazama tangu historia ya utumwa, utajua kuwa kiasili waarabu ni watu katili. Halafu ule ukatili wao wameufanya kuwa ni sehemu ya imani ya kiislam. Walipokuwa wakieneza uislam, wakauweka ukatili wao ndiyo imani yenyewe.

Wasio waarabu wana kazi kubwa ya kuuelewa uislam kama imani ya kidini ili wautenganishe na tabia na desturi za kiarabu, ambazo zimejaa ukatili wa ajabu.
 

Rum 8:36 SUV​

Kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa, Tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa.
 

2 Mambo ya Nyakati 15​

13 Na kwamba yeyote asiyemtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, awe kijana au mzee, mwanamume au mwanamke, sharti auawe.

Uwe unaweka za biblia pia ili usionekane mnafiki.

Yalikuwa mapatano binafsi wala sio maagizo ya Mungu
 
Amina mtumishi wa Mungu.
 
Ritz Webabu FaizaFoxy Adiosamigo kuna haja ya dini hii kufundishwa ustaarabu wa kiimani. No need of violence. Mtu aamini anachotaka. Ukatili na unyama unahalalishwa sana katika Uislamu kwa kisingizio cha Imani.

Wakristu huwa hawahangaiki hata Papa kwa Wakatoliki aki silimu watamfakia maisha mema. Au askofu akisilimu hawatamtenga wala kumdhuru. Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. Imani si ya jumuiya ni ya mtu binafsi.
 
Aisee kumbe Vita ya Udini ni Kali sana inatuuwa wenyewe kwa wenyewe sio jambo la kufumbia macho hili
 
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"
 
Sikiliza kijana mtengeneza majina anaye kuambia Uislam unafundisha violence ni mpumbafu. As far as Islam is concerned, mafundisho ya uislam yanakataza na kucondemns every form of terrorism. Uislam haiwakingii kifua watu wanao tumia ujinga huo kwa kujidai waislam, ili wadhuri watu kwa kutumia violence, iwe serekali au magroupu. Nyie hao mnao sema waislam mkiwambia wasome juzu Amma tu watashindwa, je ukiwambia juzu katika Masahafu 😄

Kabla yakuwacode hao mnao waita waislam kwanza mnatakiwa mkasome Qur'an wapi inafundisha violence, msiende mkacopy tu point bila kuisoma full point yake, ndio mtajua Uislam ni dini ya amani au shari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…