mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Huyo ulimpata mstaarabu sana,mimi nitakuweka tu hata kwa lazima as long as wewe ndo msababishi wa mnara kusoma.Weee mbona tunawasimamisha vizuri tu na hamlambi kitu. Cha kuzingatia msiwe be mazingira ya ndani
Sent using Jamii Forums mobile app