Mchungaji awashauri wachumba kutest mitambo kabla ya kuoana; adai yeye alitest ya kwake

Kabla hatujaanza kumnanga Mzee Mama, sote tujiulize humu ndani, wewe na mkeo au mumeo mlianza kudinyana baada ya ndoa? Hapo tutaona kati yetu na yeye nani sio mnafki .
 
Kulingana na maandiko hayupo sahihi 100%
Na apo ni kuzitegemea akil zako mwenyewe
Maana Mungu anasema mke mwema hutoka kwake
Wakristl walipaswa kuomba sana Mungu amkutanishe na mke wake
Maana kilanunaefanya nae tendo bila ndoa ni kuzini
Apo anashawish uzinzi.
Nashangaa anawaumini wanaomfurahia pia
 
Binadamu sio mnyama mkuu. Wewe unashauri nini kifanyike?
 
Huko kutesti mitambo kabla ya kuoana ndo kumepelekea ongezeko la talaka na watu kutohitaji ndoa.

Nyapu zinapatikana kirahisi sana, na zimetumika mno.... ukioa tu unalinganishwa na waliopita.
 
Mchungaji huyu namfananisha na mchungaji Rose Shaboka kutoka Tanzania ambaye muda wote anafundisha kuhusu mambo ya ngono. Sijawahi kumsikia Rose akifundisha jambo lingine zaidi ya ngono na kuhondomola.
 
Makanisa Ya Chap chap Hayo, Maana Hata Usipojaribu Ukakuta Hana Kitu Ruksa Kuvunja Ndoa
 
Ushauri mzuri ila ni mbaya pia.
Inatakiwa iishie labda kwenye kupapasa na kuona inasimama kweli na inakazaπŸ˜‚πŸ˜‚. Ila kwenye kusex hapana ni ushauri mbaya
Sasa wewe utaona kabisa machine ya mtu wako imesimama uvumilie kutoiingiza kwenye papuchi kweli? Wengine wakiona imesimama tu wanaanza kuinyonya na wakilemewa na ny3g3 wanaijaza kwenye papuchi moja kwa moja.
 
Unamuungaje mkono wakati dini inakataza mkuu? Unataka kwenda kinyume na mafundisho ya mtume na Mungu?
Muda fulani inabidi baadhi ya mambo kiwa updated kuendana na nyakati husika na tuache unafiki,

Kwa nyakati hizi watu wengi wanaingia kwenye ndoa tayari washakuwa na mahusiano kadhaa kabla (exes), kila kitu wanajua
 
Kidunia ndio hali halisi. Unaolewaje na mtu bila kumuonja. Ukikuta sio size yako inachochea uzinzi. Kei na dudu ni muhimu zifit
 
Ushauri mzuri ila ni mbaya pia.
Inatakiwa iishie labda kwenye kupapasa na kuona inasimama kweli na inakazaπŸ˜‚πŸ˜‚. Ila kwenye kusex hapana ni ushauri mbaya
wengi husema hivyo lakini wakifika magetoni baada ya mpapaso mzito wanaachia mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…