Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
watu wana crop, na kupost kile wanacho vutiwa navyo. sehemu ulyio isikia na kuiona i bet ni kijipande tu katika mahubiri yake, muda ule wa kutoa mifano n.kNaomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?
Ahsante.
Kama hatokuelewa hapa. Ndo basi tenawatu wana crop, na kupost kile wanacho vutiwa navyo. sehemu ulyio isikia na kuiona i bet ni kijipande tu katika mahubiri yake, muda ule wa kutoa mifano n.k
ngumu kukuta watu wanapost mahubiri au vipande vinavyo toa ngumu chungu, kukemea dhambi n.k
lakini pia lengo la kuchunga ni ku guide, na hizo ni sehemu za ku guide.
Huwa namsikiliza vizuri, anawaambia watu waziwazi waache dhambi!!Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?
Ahsante.
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?
Ahsante.
Wewe unaonaje kwa nini maaana ya Uchungaji manake ukilijua hilo wala hutapata shidaNaomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?
Ahsante.
Asipoelewa hapa basi ni kilaza sana ani huyu jamaawatu wana crop, na kupost kile wanacho vutiwa navyo. sehemu ulyio isikia na kuiona i bet ni kijipande tu katika mahubiri yake, muda ule wa kutoa mifano n.k
ngumu kukuta watu wanapost mahubiri au vipande vinavyo toa ngumu chungu, kukemea dhambi n.k
lakini pia lengo la kuchunga ni ku guide, na hizo ni sehemu za ku guide.
Baba swalehe umenichekesha mapema yote hii !! Hapa bado namsubiria bujibuji kwenye huu uziAsipoelewa hapa basi ni kilaza sana ani huyu jamaa
Watu wanaacha dhambi kupitia yeye na ni Mtumishi wa Mungu acha dharau we bintiHuyo jamaa namuona kama mropokaji Fulani hv, anyway ni upepo tu nao utapita
Ukiona mtu ana challenge ukweli ama uhalisia wa jambo basi huyo mtu hakosi kuwa na makando kando katika maeneo anayo yakosoa na kuyajengea hoja za utetezi, Mchungaji Danniel Mgogo hana injili ya kupapasa bali ako anahubiri uhalisia wa neno la Mungu linavyowataka watu waishi /wawe hasa kwa maisha ya utauwa.Acha ulevi, uzinzi, uasherati, uongo, wizi ,dhuluma hizi ndizo point mhimu sana katika Mahubiri yake haya zaidi ya hapo wewe ungependa ahubiri nini kwa kizazi hiki upepo wa kisulisuli?Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?