Mchungaji Daniel Mgogo ni mchungaji wa dini au ni motivational speaker?

Mchungaji Daniel Mgogo ni mchungaji wa dini au ni motivational speaker?

Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?

Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na Mchungaji Mitimingi wana uhusiano wowote?

Ahsante.
Motivational speakers, wako wengi tu mbona?
 
I see...

Yesu is “yours” NOT for all of us wengine hatumtambui whatsoever!

Rightfully so!
That much I know, and that will not derail us believers to long in his grace, because it is written "There is no other name under heaven given among men, by which we must be saved, except Jesus Christ" Act 4:12
 
Acha wachungaji hao

dunia ya sasa inawhitaji wachungaji wa namna hiii

Mgogo ni mchngaji haswaa ukipenda muite motivational speaker

kama unavyopenda au kutaka

Another one ni huyu baba👇👇👇

unnamed (36).jpg

Hawa wote utawaita majina unayotaka ila ni WACHUNGAJI

na ndio tunaowahitaji kwa sasa wasio pepesa macho

Nyeusi wanasema nyeusi Nyekundu wanaisema Nyekundu
 
Whats Act 4:12?

Who knows that?

Chistrians assume everybody on earth knows their shit!

Guess what,y’all wrong!
 
Religious motivational speaker. Siku kaanza kuchomekea kuunga mkono juhudi.
 
Hili jamaa tupende tusipende,tukatae tukubali,tulie tucheke,tunune tufurahi jamaa anapiga za USO sio kupambapamba kijinga kijinga.

Anaongelea maisha halisi yaliyopo katika Jamii yetu ya sasa.

Sio wale wengine wanaoremba na kudanganya ili kuingiza vipato kutoka kwa kondoo wao.

Mgogo anatandika kwenye uhalisia Wa maisha haswa.

Wakuu,anayepinga kuwa Mgogo hasemi ukweli tofauti na wenzake wanavyoremba ili kuwakamua kondoo wao ni wapumbavu haswaaa!!!!

Tunataka mtu anayesema ukweli daima sio kuficha ficha.

Na huyu mhubiri wazushi wataanza kusema sio mtu wa Mungu Bali ni mpotoshaji.

Wataanza kuzusha kuwa kafa kama kawaida yao ya kizushi.

Hahahahaha, ndio maana JEMBE MHE.JPM ANAPOWAAMBIA UKWELI WATU TUNANUNAAA WEEE NA KUZUSHA YA KUZUSHA WAKATI NI KWELI ANATUAMBIA UKWELI.

Hahahahaha,

Tusipotoshane wajameni.
 
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Mkuu Simply kabisa, Kwa watu wachanga tu, ila Matured people wanafahamu Mgogo haubiri Injili, ila anahubiri Cecullar (Mambo ya kawaida/ Moral issues, isipokuwa anachanganya na Mistari ya Bible ku-justfy Teaching zake)

Kwa watu matured wa Injili ya Kweli, Tz yote hakuna watu popular wanaohubiri Injili ya Kweli, wengi ni Cecullar, isipokuwa Watu wachanga wanafikiri kwamba uki-quote bible vesrse basi hiyo ni Injili, Thats wrong according to Bible.

The Real Gospel is GRACE, Kuelewa kitu YESU Amefanya kwa mwamini; Of which wengi Bado wanahubiri Cecullar, ikitokea anasema anahubiri Injili basi atahubiri BONDAGE(Spirit of Bondage that bring Fear), Ndio Utaelekezwa Sheria za Musa humo ndani wakifikiri ndio Injili; Real GOSEPL is Grace.
 
Huyu ni MC wa Neno la Mungu anafikisha ujumbe kwa njia tofauti lakini unafika.
 
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?

Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na Mchungaji Mitimingi wana uhusiano wowote?

Ahsante.
Nampenda sana
 
Wahubiri wengi wa zama hizi wamehamia kwenye trend hiyo ya mgogo,wameona wakihubiri watu waache dhambi ili wauone ufalme wa mbingu mambo hayatakua mambo.Chunguza hili then prove me wrong
 
Huyu ni mtumishi wa kweli wa Mungu sio wale wajasiliadini ana hudumu kanisa la Moravian
 
Acha wachungaji hao

dunia ya sasa inawhitaji wachungaji wa namna hiii

Mgogo ni mchngaji haswaa ukipenda muite motivational speaker

kama unavyopenda au kutaka

Another one ni huyu baba👇👇👇

View attachment 1240247

Hawa wote utawaita majina unayotaka ila ni WACHUNGAJI

na ndio tunaowahitaji kwa sasa wasio pepesa macho

Nyeusi wanasema nyeusi Nyekundu wanaisema Nyekundu
Mch Mastai, Kimara KKKT
 
Jamaa anachana Live..kwenyr ukweli anasema ukweli

Nahawa ndio wachungaji
Mwaka jana kwenye mkutano wa Wahandisi/Wabuni Majengo/Makandarasi/Wakadiriaji Majengo, Mugogo alichomekea mbele ya JPM kuwa serikali huwa inafanya makosa kuwabomolea watu wliovutiwa amji, umeme na huduma nyingine na Serikali hiyohiyo!!

JPM alimaindi akamjibu kutokujua kosa si sababu ya serikali kutokukubomolea.
 
Back
Top Bottom