ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
hakuna mchungaji Wa diniNaomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na mchungaji mitimingi wana uhusiano wowote?
Ahsante.
Rudi shule uongeze maarifa.hakuna mchungaji Wa dini
!!
Dini haichungwi
Rudi shule uongeze maarifa.
Usimtazame mchungaji anacho sema bali fuata yale yalio muhimu Mungu amemfunulia
Well saidwatu wana crop, na kupost kile wanacho vutiwa navyo. sehemu ulyio isikia na kuiona i bet ni kijipande tu katika mahubiri yake, muda ule wa kutoa mifano n.k
ngumu kukuta watu wanapost mahubiri au vipande vinavyo toa ngumu chungu, kukemea dhambi n.k
lakini pia lengo la kuchunga ni ku guide, na hizo ni sehemu za ku guide.
Ni sawasawa na mafarisayo, walikuwa wanafundisha watu sheria ya Musa lakini wao kwa matendo yao hawakuifuata. Basi Yesu akawambia "Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa, fuateni wanayosema bali msifuate wanayotenda"Hii ndio concept ya hovyo sana ya dini!
Ndio inafanya dini inakua very dangerous!
Yaani unamtoa dhamana muhubiri kwa kile anachokiwakilisha kwa wasiojua lolote which is nonsensical kabisa!
Hii inaitwa religious catastrophe!
Ni sawasawa na mafarisayo, walikuwa wanafundisha watu sheria ya Musa lakini wao kwa matendo yao hawakuifuata. Basi Yesu akawambia "Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa, fuateni wanayosema bali msifuate wanayotenda"
Hahaha...wewe jamaa unadadisi sana, anyway katika watu ninaowakubali zaidi katika kufundisha neno la Mungu ni mwalimu Mwakasege na anadai hakupita hata bible school.
Yaa, Jesus The Lord and Saviour!Yesu concept again!
Yaa, Jesus The Lord and Saviour!
Naomba kujua kutoka kwa waumini wa huyu mchungaji Mgogo, je ni mchungaji wa dini au ni mtia hamasa(motivational speaker) wa dini?
Hua naona watu wengi wanapenda kuweka video clips za mahubiri yake kwenye social media statuses ila hakuna mahala au sijawahi kusikia akinukuu vifungu vya dini yake. Je ni mchungaji au ni motivational speaker? Yeye na Mchungaji Mitimingi wana uhusiano wowote?
Ahsante.
Mmeshazoe kuuziwa mafuta na maji
Mkikutana na.injiri za kuonya mnaona ni mpya