Mchungaji Daniel Mgogo ni mchungaji wa dini au ni motivational speaker?

Ni Mtumishi kweli wa Mungu, fuatilia video zake Kwa kina sio hizi clips za mitandaoni
Sure,kwa njia ya mahubiri tu yupo njema,lkn hatuwezi kujua kwenye maisha yake yupo vipi,hivyo siwezi kumpa maksi zote,Mungu ndo anayemjua vema nje ndani.
 
Samahani ndio huyo aliyemtia mwanafunzi mimba?
 

But its so sad ktk jamii hana sura kamili ya muhubiri wa injili kama ambavyo hufanya kazi hiyo. Amekuwa kama motivationa speaker, and i am afraid slowly ataswitch to Full motivational speeches na kuacha the message of Gospel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…