Mchungaji Dustan Maboya, umepatwa na nini hadi uanzishe ibada za usiku wa manane? Polisi chunguzeni huduma hii

Mchungaji Dustan Maboya, umepatwa na nini hadi uanzishe ibada za usiku wa manane? Polisi chunguzeni huduma hii

Bujibuji NGOJA NISOME TENA AISEEE..KINAFANANA NA SIMULIZ MOJA YA EFM,JAMAA ALIGONGA GARI AKATOKEA MANZ AKAMPA BUSSINESS KADI ALIYEGONGA GARI YAKE.UKAPITA MWAKA JAMAA AKAIPIGA ILE NAMBA,AKAAMBIWA AENDE AKAITENGENEZE GARI KWA MANZI MASAKI.KUFIKA AKAPELEKWA KWA CHUMBA AKAKUTA JOKA LIMEUMIA USONI ETC
Hebu tupe full story
 
Hebu tupe full story
Mkuuu Bujibuji SIO MSIMULIAJI MZURI IN SHORT NI HIVI
1.DOGO ALIPATA AJALI AKAGONGA GARI
2.MWENYE GARI AKAMPATIA BIZNEZ KADI SIKU HUYO DOGO AKIPATA HELA AENDE AKAITENGENEZE GARI
3.MWAKA UKAPITA DOGO HAJAPATA HELA AKAWA ANAOTA NDOTO MBAYA
4.SIKU KAPATA HELA AKACHUKUA BIZNEZ KADI ANAPIGA TU SIMU YULE MANZ AKATAJA JINA LAKE RICHARD LINI UNAKUJA KUTENDENEZA GARI,dogo akajibu kesho namsubiria fundi,manz kasema fundi wa gari yupo mtaan kwake sense hata pekeyake
5.kufika kwa manz akampeleka chumba kizuri Ila gari halion akaliona joka
6.ile kupata mshtuko akapiga kelele kuanzia pale hakumbuki ilikuwaje akaokotwa ufukwe wa CoCo beach
7.miaka mitano alikuwa n chiz wa BARABARANI
8.now aliombewa Yuko good..
 
Nenda katafute movie inaitwa Devil all the time ya mwaka 2020
Ngoja nicheki halafu Bujibuji check hapo insta utakutana na stor full ya hicho Lisa Cha RICHARD
Screenshot_20200927-110040.png
 
Nikiwa nasoma arusha secondary miaka ya tisini alikuwa anakuja kuhubir akiona vikundi vya wanafunzi alikuwa chakaramu kama mchungaji mashimo choka mbaya anahubiri kwa matusi tunamshangilia utasikia dah yesu akaona hawa wasenge wanafanya biashara hekaluni Leo nawalawiti...sitanii alikuwa anahubiri hivyooo
Mhuuu
 
Angekuwepo Kulola labda angeona aibu lakini Mungu hawezi muogopa.Mtu kama Mwampo kaua watu na hakuna aliejiuliza watu wasio na maarifa ya neno wanaendelea kukanyaga mafuta tu..Kuna anaejiita mtume nimepata habari yake kwamba alimshughulikia mke wa muumini wake kiasi Cha kumtia mimba na bado wao wawili wameendelea kuwa waumini.
Du hii sasa kali yani ulambe nyapu ya mke wangu na mimba juu halafu tuendelee kua waumini hapo hapo
 
Nikiwa nasoma arusha secondary miaka ya tisini alikuwa anakuja kuhubir akiona vikundi vya wanafunzi alikuwa chakaramu kama mchungaji mashimo choka mbaya anahubiri kwa matusi tunamshangilia utasikia dah yesu akaona hawa wasenge wanafanya biashara hekaluni Leo nawalawiti...sitanii alikuwa anahubiri hivyooo
Is it true?
 
Back
Top Bottom