Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mimi siyo Mkristo but nimekuelewa vizuri sana, huyo jamaa uliyemjibu ukisoma maelezo yake ni kama ana Kinyongo flani hivi na yule Mchg Kimaro... Mwisho hebu nisaidie na yule Mchung Mgogo yuko huko huko KKKT?
Hana kinyongo chochote Ni kwamba Ni mtazamo wako tu Ila Kama upo kkkt kijitonyama na kimara korogwe bas utagundua Kuna kitu hakiko sawa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Mch Anna inaonekana ndo alikuwa anamchongea sana achukue hiyo nafasi



Huenda aisee!

Na asifikiri atapata Nyomi ya waamini wengi sana vile!

Waumini wengi wataacha kwenda kanisani hapo.

Walikuwa wanaenda hadi wasio KKKT imagine!

Huwezi tembelea nyota ya mwenzio.

Na hata matoleo yatapungua maradufu, watoa zaka watapungua maradufu,

Sijui hao mahasidi na wafitini wali jaribu kupima kwa mbele kuona athari itakayokuwepo?!
 
Mother one....Alisha semakuwa mchungaji alionywa Mara nyingi na haku sikia kbsa na ilionekana ana kiburi Sana

SAS wee unasema habar za wazeee wa kanisa wakt Ni was kbsa jamaaa kuwa ana kiburi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Walikuepo wengi wameondoka na Bado kkkt IPO juu tuiombeee kanisa na madhabau

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanaimba mapambio badala ya nyimbo kwenye tumwimbie bwana ambacho kina nyimbo almost mia nne
 
Ugomvi wa Mastai korogwe ni zaidi ya Ibada
Ni mambo ya sadaka
Kama sadaka ndiyo tatizo, basi wazilete kwangu niwe nazitunza mimi, wasikae nazo. Wanakaaje na kitu ambacho kinawaletea matatazo, tena kwenye nyumba ya Ibada?

Haya matatizo ya kwenye nyumba za Ibada huwa naombea sana yamalizike kabla ya siku sijawahi kuwa na cheo ambacho ninaweza na mimi kupitisha mkono wangu huko. Siku ikitokea nikiwa na mamlaka, nina wasiwasi matatizo ya aina hii yanaweza kuja kusababisha Rais akanitumbua!
 
Asante kwa ufafanuzi, mimi ni KKKT, sijaumizwa kimaro kupewa likizo, ninachojua unapokuwa mchungaji wa kkkt kuna viapo unaapa na kuahidi kuvifanya siku zote za utumishi wako. Ninachoomba kwa sasa akirudishwa kazini apangiwe usharikani kwetu😅😅😅
 
Kimaro huenda ni Kama Tunfu Lissu.
Ukiwa na akili sana nayo ni shida.

Unakuta kabia Mchungaji Kimaro anaona umehubiri Utumbo na uongo ndani yake. Sasa akija kujazilizia anaonekana anakosa adabu🤣🤣
 
Kila kanisa na utaratibu wake na ndio mana hata mapadree wanaokosea kanisa huwa mnaondoa

Amri za kanisa mliweka ili zifuatwe

Sasa hata kkkt nako kuna utaratibu wake ukiend kinyume lazma ukumbushwe
Swala si utaratibu, swala ni kwanini kila siku wao?
 
Walikuepo wengi wameondoka na Bado kkkt IPO juu tuiombeee kanisa na madhabau

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app



Mngejua watu jinsi wanavyomtukuza Mungu Kwa uamsho Mkuu ulokuwa Unaendelea huko KKKT msingelifanya hayo ya uharibifu kwenye kazi ya Mungu.

Hamtaki advancements? Mnataka ukristo wa kupoa ambao mnaenenda kama wasio amini?
 
Kanisa halibebwi na wanadamu, Kanisa ni la MUNGU.
Mungu alishaondoka siku nyingi sana huku duniani, alishatuma mitume na manabii, sasa hivi ni sisi kutumia akili yetu tu.

Whether or not kanisa ni la Mungu, ni jambo fikirishi, alieyeanzisha hilo kanisa anajulikana Martin Luther, je yeye ni Mungu? Tuache kufuru.
 
Hivi hawa KKT mbona migogoro yao haiishi? Kanisa linakuwa na migogoro utafikiri chama cha siasa?
Katika hali ya kawaida, huu siyo mgogoro bali umeonekana kama mgogoro baada ya watu kuvujisha siri za Kanisa na kuzitoa nje.

Mgogoro hasa wa Kanisani ni matatizo yale ambayo yanaanzia Kanisani, halafu yanavuka na kutoka nje hadi kufikia kuhusisha watu wengine wa nje ambao si waumini, kiasi kwamba ukiachwa ukaendelea, una uweza wa ku-compromise maslahi ya nchi nzima kwa sababu una tabia ya kuhusisha watu wote bila kujali imani zao

KKKT nawapongeza sana ni Kanisa ambalo lina uongozi imara sana, na Ibada zao ni nzuri mno pia
 
Mgogoro wa ulawiti? Ndiyo nini? Hizo ni tuhuma tena za uongo ambazo zinarushwa kwa kanisa, lakini kwa kutambua kwamba Yesu alisema litajaribiwa lakini halitashindwa,Zimebaki kuwa tuhuma za uongo si mgogoro ndani ya kanisa.
Achana nao wana wivu tu kuona kanisa katoliki linarun smoothly mfano halisi ni kadrinali wa Australia George Pell alikamatwa kwa makosa ya ulawiti akahukumiwa fasta fasta alikaa jela zaidi ya siku 400 badae akaja kuachiwa eti hana makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…