Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Umeongea mengi lkn Mimi naomba kujua tar 8 alimfanya

Umeongea mengi lkn Mimi naomba kujua tar 8 alimfanya Nini Anna?
Kuna kipindi dayosisi haikuwa na katibu mkuu, kwa hiyo pastor wa kimara MASAI alipewa ukatibu mkuu kwa mda ili dayosisi ijipange kutafuta katibu mkuu.

Sasa kumbe wakati Masai amewekwa pale akakuta kuna mashtaka yanayo mhusu KIMARO kumbuka masai na kimaro ni pete na kidole, ikabidi jamaa avujishe siri kwa kimaro, sasa kwa sababu friji haigandishi ya kimaro akaja kanisani akasimanga akajisahau mpaka akamtaja mchungaji Anna, hapo ndipo siri ilipofichuka na kuonekana kuna kitu hakipo sawa kanisani.

Na baada ya ibada ile nahisi wakubwa waliona jamaa amevuka mipaka sasa wakaamua wamle kichwa, alipokua anaelekea alikua anataka kujiona Mungu.
 
niliamua niwe tu nasali kwa ukawaida kwa mashahidi wa yehova watu walio na upendo wa hali ya juu wakiyaishi maisha ya viwango ya kikristo kwa matendo...
KKKT ya sasa ni uhuni mtupu, kama kungekuwa na kipimo digital kinacho scan utashi wa viongozi 50%+ ni opportunists hawana hata element moja ya u Mungu
 
Mashahidi wa Jehovah hawana makuu.
 
Itabidi nae afe!
 
Umaarufu ukizidi binadamu huwa tunakuwa na kibur na jeuri kuliko viongozi au Taasisi zetu.


Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Nimezaliwa katika familia ya kiluteri na kupata hadi kipaimara ila mambo hata ya migogoro upande wa viongozi yalinikera ukifuatilia chanzo pesa afu michango karibia mitano lol niliamua niwe tu nasali ?

Mashahidi wa Yehova, methodist, baptist, makanisa yametulia Sana haya.

Sema kizazi hiki wanataka makanisa yasiyokataza dhambi.

Feel free church yaani haipo tofauti ya Mkristo na Mtu wa mataifa
 
Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya...
Mimi nilikuwa sijui kinachoendelea hapo Kijitonyama ila ulivyoanza kuelezea tu kichwa changu kikaenda kwa Mchungaji Masai wa Kimara.

Nimesali pale Kimara mara moja moja nikimtembelea jamaa yangu, ni kweli ibada za pale sio za KKKT. Kuna siku ilibidi wenzangu waende pale mimi nikapitiliza nikaenda kusali Ubungo, niliwaambia mimi nimezoea ibada zetu za kilutheri hapo siwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…