Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Watu hawafati umaarufu bro umewaza kitoto sana watu wanafata mafundisho. Ukiangalia wote wanaotajwa ni watu wamafundisho ss ukiwa unapiga mondo mno lazima wakubwa wajisikie vibaya. Never outshine your master. Ss unafikir ni uongo vijana wengi wa kikristo sio waaminifu katika biashara. Nenda kariakoo 80% ya maduka utakuja na akina Amiii, Asha, Shabani so asichukuliwe vibaya alilosema ni kweli tubadilike tu.
 
Mm ni mkatoliki ila niliwahi kwenda huko kwa maksai kimara uko sahihi uzuri ni kuwa Nje ya maji Mamba hana nguvu
 
Kila kanisa lina misingi na taratibu zake,huwezi kujitungia mambo yako
 
Shida ipo hapa naona KKKT haitakiw transformation Kuna moto wa injili unawachukua taratib wataukua wanaabudu kama walokole. Nilionaga padri mmoja akiomba mapepo yanalipuka ss chakushangaza alipigea chini. Itafika hatua KKKT itakua injili ya moto kwelikweli .
 
Ndo hayo mapokeo na taratibu zinazojirudia....
Naaam hata injili ilipokelewa na haijabadilika Toka kanisa la mwanzo iweje wewe uone nongwa kufuata,Yesu ni yeye yule Jana,Leo na hata milele fafanua
 
Unajua asili ya ulutheri?ni matengenezo,
 
Naaam hata injili ilipokelewa na haijabadilika Toka kanisa la mwanzo iweje wewe uone nongwa kufuata,Yesu ni yeye yule Jana,Leo na hata milele fafanua
Ungeelewa kwanza ulichokiandika ndipo uniambie nifafanue hoja yangu.

Kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi siyo MAPOKEO bali ni kukiri Imani na ondoleo la dhambi.

Yesu hakuwa anarudia rudia mambo kwenye huduma yake. Angalia orodha ya vipofu aliowaponya utaona kila muujiza ulikuwa wa kipekee.

Aligeuza maji kuwa divai kwenye muujiza wake wa kwanza lakini kwenye karamu ya mwisho ilitengenezwa divai isiyotiwa chachu


Kumzoea Mungu ndo huko kwenda kanisani kufanya mambo ya kukariri yanayojirudia rudia.
 
Ilo la kuwakatisha wenzie nimeliona youtube aisee
 
Wamama mnapenda sana mambo ya dini
 
Umasikini unakutesa sana, masikini huwezi kuwa na msimamo kwahiyo kaaa huko kwa mashahidi wakupe hata hela ya tai
 
Hizi dini hizi zitatushinda tu huko tuendako...shida tu ndio zinafanya tuendelee kujikongoja...ikumbukwe wazungu waliotuletea hizi dini makanisani wengi walishaacha kuhudhuria miaka mingi makanisa yapo tupu..!

Japan wengi muda wa kusali mdogo muda mwingi ni kwenye kuchapa kazi hebu ona walivyo endelea.
Na si kama hawasali kuna wengine wanasali once a year,au mara moja kwa mwezi...siku zingine ni kazi...kazi....kazi...kazi..maendeleo hayaongopi!

Njaa na kukosa ajira,uchumi mbovu,umasikini,magonjwa,ushirikina ni vitu vibaya mno na ndio vinatufanya tunashinda tuna swali badala ya kufanya kazi kwa bidii,kuboresha mfumo wetu wa elimu kupambana na umasikini,kuwa na new innovations,ubunifu,kujenga uchumi imara,nk
 
Mimi pale nilihama mkuu.

Sikumuelewa toka awali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wacha nicheke japo mimi ni mkristo hasa wa kipaimara humu makanisani mna vituko vingi mbali na hizi ibada zetu za liturjia
 
Malasusa huyu ni wa hovyo Sana, km Makonda aliweza kumnunua?
 
Kwa hili suala mimi ni Mluther ila penye ukweli ni sawa kusema ili watu wapone..
Imagine mtu amefanya kazi na projects za maendeleo na vijana wake kanisani ila anakuta kila siku wanamliza tu.
Je aendelee kuwa mnafiki na kuwalisha upepo? Au atuambie ukweli wakristo wenzie tubadilike? Kwenye maeneo tunayoish ukikutana na mwislamu ambae hajajichanganya sana mara nyingi wànakua waaminifu kuliko sisi wakristo hebu fikiria nàmna wakati mwingine tunavyowaamini sana Wapemba, Kumbuka pia Uarabuni wana sheria za kiislamu kali, nazo zinawafanya asilimia kubwa wanakua na uaminifu kwa kiwango kikubwa..
Hivi tushawaza kuhusu Wajapan Wabudha mbona wanatuzid Wakristo kwa uaminifu? Kuna sehem tunafeli haswa kwenye msisitizo wa maadili. Tumewasisitiza zaid watoto shule ila somo la kusisitiza maadili hatuna muda nalo..
Kuhusu kusifia RC yupo sahihi pia na ni ukweli usiopinda kuwa taasisi za kikatoliki zimekua stict sana na sheria walizojiwekea kuliko madhehebu mengine mfano mashule na hata uandaaji wake wa viongozi.
Taasis za kkkt zimejaa ubinafs na undugu kwa viongoz wa kanisa limejaa ubabaishaji sasa Kimaro asiseme? Amezungumza tu ya moyoni na kuna mengi mazur ya kujifunza kutoka sehemu alizo ongelea na nadhani ni haki yake kuwa na maoni tofaut japo hauwez kuwa ndio msimamo wa kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…