sikwedawaz
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 315
- 273
Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUVββMwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wakoββ
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Naam. Ni mshkaji wangu sanaMwenyewe unamjua hapa Jf?
maandiko yanazuia kuvaa vazi limpasalo mwanaume kuvaa. hakuna suruali ya mwanamke, wala hakuna sketi ya mwanaume, wala hakuna blauzi ya mwanaume. mambo hayo yanafanywa na shetani ili kupoteza wateule wa Mungu. ukienda UHAMIAJI hapo kurasini utaona waliovaa suruali za kubana wanazuiwa kuingia. ebu niambie heima hiyo wanaitoa wapi afu watu wa Mungu tukaikosa
Hivi anafikiri Durex inauzwa 200 au 300?Hizo Durex Kama Ni fungu la kumi mbona hawazigawi bure?na Ni one among expensive condom
Ww nawe ficha umbulula wako ... Yule kasema wachungaji waache utapeli na waumuni pia waache utapeli bali wamrudie muumba wao .. hilo la kumiliki nyumba na mashamba unalileta wwUnajua kibri kimemponza!
Tangu askofu, mkuu wa jimbo pamoja na wachungaji wenzake waende msibani kule kijijini jirani na kwake (baba mzazi wa mchungaji aman lyimo)alipofariki baadhi ya viongozi wengi waliendavkuzika walilala nyumbani kwake kule kijijini maana kimaro na huyu aman kwa kule kijijini wako karibu sana ni kama kilomita 2 hivi kwa kimaro na amani,sasa huyu kimaro kajijenga sana mpaka ndugu zake wote kawajengea mi block ya nguvu pale kijijini sasa kuanzia siku hiyo alianza kuleta dharau na kujitapa huenda hili nalo limechangia au huwezi jua ka wivu ka kipato kwa wakubwa huko
Biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa yesu isipokuwa quran. Haya maneno umetafsiri wewe na siyo ya kwake. Ungemuuliza alimaanisha nini ningekubaliana na wewe. Halafu biblia inahitaji mtu binafsi kwanza adhamirie na kuikubali kutoka ndani. Kuna watu wanabeba biblia jumapili akitoka kanisani anaingia guest kusini, au bar n.k ulipaswa umsikilize kwanza anamaanisha nini kabla haujaja kulalamika.Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUVββMwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wakoββ
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Everybody knows any religion is a scamNa Shemasi Jimmy 0659 611 252

Kama yesu alikuja kwaajili wa watu ambao sio wakamilifu kama hao wavaa suruali za kubana waliobeba mabango iweje ushangae?wito wetu kama watumishi ni kuokoa kilichopotea hivyo, nilazima utafte jinsi ya kuwapata mahala walipo. Yesu hakuja kwa walio wakamilifu, ndio maana alikaa na makahaba, walevi n.k
batikiwa sana ndugu. tunaweza kujifunza zaidi ikiwa utakua tayari
Sina tatizo na Kimaro na simtetei pia..ila wewe ni debe tupu ..sasa hapa ndio umeongea nini?Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUVββMwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wakoββ
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Sasa kwanini maneno mengi. Kashapewa likizo kaikubali. Anasubiri siku 60 akaripoti alipoambiwa. .... Mbona maneno mengi wakati mwenyewe katii na hajabisha?Mchumia tumbo yule
Shemasi wa mchongo tu huyo. Aliyesimamishwa katulia tuli. Na hajabisha wala kupinga kusimamishwa kwake... Shida vimdudu mtu sasa.Kama yesu alikuja kwaajili wa watu ambao sio wakamilifu kama hao wavaa suruali za kubana waliobeba mabango iweje ushangae?
Shemasi unajichanganya
Hufai wewe kuwa hata Katekista, utakula kondooShemasi wa mchongo tu huyo. Aliyesimamishwa katulia tuli. Na hajabisha wala kupinga kusimamishwa kwake... Shida vimdudu mtu sasa.
Ningekuwa mchungaji Kimaro ningevitafuna vyote dadadadeki
Umeandika pumba tupu ndg shemasi.Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.
Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUVββMwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wakoββ
Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.
Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.[emoji817][emoji818]Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.
Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO....
Makondoo mengine ni ya kula tu. Hayana faida duniani na mbinguniHufai wewe kuwa hata Katekista, utakula kondoo
Hakuna jipya uliloandika zaidi ya tuliyoyasikia tangu sakata hilo lianze.Hayo ya wanawake kuvaa suruali za kubana umecopy humu JF kwa wenzio waliotangulia kuweka mada za Mchungaji. Kipya hapo ni number zako za simu tu basi.Mchumia tumbo yule