Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Kanisa ni Taasisi inayojitegemea na taratibu zake

KKKT sio TFF. tuheshimu miongozo yake
 
Mimi ni muislamu lakini nasema huyu Pastor Kimaro ni bonge la Pastor na waliomfanyia hizo figisu hawana roho wa Mungu ndani yao.

# Baba Kimaro kama unasoma UJUMBE huu please tunaomba tunaomba ufungue kanisa lako.

Siku 60 ni nyingi sana.

😭😭😭😭😭😭
Good!na yeye anawapenda waislam.
 
Wameundaa Group waumini eti wanahamasishana wasiende kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sadaka wamtumie kimaro au watume kwa yatima...! Yani sijui wataishia wapi ila mpaka hapo wameshafail.



Wame -fail kivipi? [emoji2369]
 
kwenye Biblia yako ya MAKABAYO,ila kwa sisi tunaosoma vitabu 66 , lipo:
wewe hapo umevaa sketi ya mtumba ambayo wazungu wametoa fungu la kumi, umevaa pedi ambapo ni msaada wenzio wametoa fungu la kumi, leo asubuhi umefanya tendo la ndoa[morning glory] na mume wako kwa kutumia Durex condom toka marekani ambapo ni fungu la kumi la wazungu kwa nchi maskini, acha mkono na roho korosho, lipa zaka.
Hizo Durex Kama Ni fungu la kumi mbona hawazigawi bure?na Ni one among expensive condom
 
Kwa hio wachungaji wanapangiwa mpk jinsi ya kuhubiri,ukiongea ongea mshahara huna

Inabidi uwalambe viatu wakuu wako 🤣🤣
Kwani mashehe wanajipigia azanaa au wanajitangazia idd muda wanaotaka?? Shehe akitaka hubiri kula kitomoto wamuache tu ???
 
Wameundaa Group waumini eti wanahamasishana wasiende kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sadaka wamtumie kimaro au watume kwa yatima...! Yani sijui wataishia wapi ila mpaka hapo wameshafail.
Unajiunga vipi?Just for curiosity nikajiunge nione walivyo wapumbavu.
 
Hahaha.

Mwakasege si Mchungaji.

Mwakasege ni Mwalimu.
Hajasoma uchungaji, anakipaji Cha kuijua Biblia, kufundisha, na ni mshauri wa maswala ya uchumi wordd Bank, imf.

Yeye ni MANA
Kuzunguka Dunia Nzima kupiga injili
Ni mshauri wa masuala ya uchumi world bank,imf🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hii imefanana na Ile ya Professor Ibrahim Lipumba kuwa mshauri wa USA,China,European Union na Russia kwenye masuala ya uchumi.
 
Mimi msema kweli, si majungu. BAADA YA KUSIMAMISHWA ETI akapost"FROM BITTER TO BETTER" na ka picha ka uchokozi.Huyu ni mchungaji au ni mission town Tu?Vijembe kwa kwenda mbele mfyuuuuuuu.
Msakatonge😁
 
Na Shemasi Jimmy 0659 611 252

Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro.

Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.

Nimeona video ya waumini wake wakiwa na mabango, huku wale wa kike wakiwa wamevalia suruali za kubana makalio.biblia imezuia watu wa Mungu kuvaa mavazi ya aina ile ya waumini wa mchungaji kimaro. Mavazi ya kubana makalio yanachochea matamanio kwa baadhi ya waamini ndio maana biblia ikazuia. Lakini mchungaji kimaro hakuliona hilo. Naomba kunukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha kumbukumbu la torati 22:5 Kumbukumbu la Torati 22:5 SRUV’’Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako’’

Alizungukwa na wana wa wanadamu wengi kuliko wana wa Mungu. Ndio maana kundi kubwa linalomtetea ni la WANA WA WANADAMU. Yaani makundi ya wanasiasa na wafanya kazi wa injili za biashara kuliko wateule wa Mungu.

Amenukuliwa katika video clip akilalama kua vijana wa kiislam ni waaminifu na vijana wa kikristo wengi ni wezi. Hii ni ajabu kwa mchungaji aliyeaminiwa aifanye kazi ya Mungu. Hii ni kukiri kua biblia haitoshi kubadili tabia na mwenendo wa wafuasi wa Yesu ispokua qurani, kitu ambacho kinaacha maswali katika aina ya utumishi wake. Wenye hekima wanasema nioneshe mchungaji wako nikwambie tabia yako. Tabia ya mchungaji ndio tabia ya waumini wake. Kama waumini wake ni wezi basi ni wazi kua yeye ni mahili kwenye eneo hilo pia.
 
Back
Top Bottom