Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Lutheran pamoja na wito ila ni ajira pia unauwezo wa kuwapeleka mahakamani
Mahakamani akafanye nini? Maana sisi wakristo tunaamini kwamba Hakimu wa haki ni Mungu. Haileti afya kiroho kwa mtumishi wa Mungu kwenda Mahakamani kudai haki anatakiwa amwambie Mungu kwa njia ya maombi kwani kwa Mungu hakuna lisilowezekana.
 
Kanisa linaendeshwa kwa utashi wa wanadamu unaotafsiri neno la mungu .kanisa ni taasisi ya kidini na kisheria pia.kama ni hivo wachungaji wasiende kusoma hadi phd kama kimaro wasubiri muweza wa yote
 
Mzee wewe una share kwenye ukoo wa Yesu? Mboni unajifanya Mesia? Kimaro amevuna alichopanda, ngoja niweke nikuta hapa nisije nikaonekana naongea sana na mimi wakanidyatua
Makubwa haya!!!![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kaahhhh!!!
 
Vijana wakristu ni wezi na matapeli tofauti na vijana wa kiislamu, vijana wa kiislamu wanakuzwa kwenye malezi mazuri, sijasema Mimi kasema Kimaro
Hii nongwa hiii,acheni nongwa hizoooo, Yaani unaafiki mwingi umewajaa na kujifanya ñinyi watakatifu
 
Juu Utamaduni wa kuendeleza mijadala isiyo na ushahidi thabiti ni lazima tuutafakari kwa upya.

Kwani Katibu wa KKKT DMP ametoa Taarifa yoyote inayohusu Ajira au Utendaji wa Mchungaji Kimaro?

Nasubiri mrejesho.
 
Kwani ww ndio kimaro? Mwenyewe kapokea barua. Na tayri katii wito na maelezo yaliyopo kwenye barua yake.

Monds naomba uzi huu unganisha na nyuzi yyte inayo husu habari za kimaro. Asante
 
Back
Top Bottom