Hao waumini wa kukimbilia wachungaji huwa hata sio waumini wa kweli,kesho kutwa utawakuta pengine.Nilijua tu ipo siku watamtoa huyu baba... na watu wanavyokimbilia huko kijitonyama sababu yake ata sijui itakuaje. Anyway ni uamuzi mzuri... waumini hawapaswi kumzoea sana mchungaji.
Ukisikia Yalaah.........
Imenilazimu, ni kauli ya kutokubaliana na kilichopo. Angesema tu, ninatii amri.Kwa sababu hiyo imenilazimu kutii amri na kwenda kwenye hiyo likizo ya siku 60 na baadae kuripoti kwenye ofisi ya Askofu kama nilivyo elekezwa" Asante
Nimeona video hapaakiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake
😅😅😀🤣 6 tuKimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazo imba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu,
Sio kweli, hebu tuwe na subira kidogoNilijua ipo siku KKKT watamfyatua out aidha kwa figisufigisu ili akimbie mwenyewe.KKKT haipendagi mtu alinyooka ktk ukweli,sasa jamaa uwa yupo straight forward uwa hapindipindi hata kidogo,so kwa Lutheran hiyo ni kasoro,pia kuna ngoma nyingine Askofu Bagonza huyu nae ni kisiki hawana cha kumfanya make huyu nae ni kichwa kingine ambacho kimenyooka na hakuna mtu mwenye uwezo nacho ndani ya KKKT
Askofu Mwaikali baada ya kutifuana na kanisa, na pia kesi zake kutupwa mahakamani akaamua kuanzisha kanisa lake, yupo Mbeya maisha yanaendelea.Nampenda lkn akiamua kuwa KKKT basi na ayafuate ya KKKT
HaoKKKT again ...[emoji848][emoji2827]
Kauli haiendani na dhimaTii mamlaka ,tii mamlaka, fuata miongozo Kama unataka miongozo yako fungua kanisa lako sikio Halizidi kichwa kamwe
Afadhali.... Sikio halizidi Kichwa. Huyu alianza kuota mapembe, kuwa jeuri na kiburi. Hata hivyo wamemvumilia sana nadhani wakiamini angebadilika. Asingebadilika. Sababu alishakuwa na kiburi kilichokomaa. Sasa aakaanzishe Kanisa lake maana hapo hakatazwi.Kufuatia semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT KIJITONYAMA ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo...
Huyo Kimaro na Mgogo ndiyo wanalibeba kanisa, shida ni kwamba kazi ya Mungu lazima ipate upinzani wa shetani na hao wanao mletea figisu ndiyo mashetani wenyeweMimi ni muislamu lakini nasema huyu Pastor Kimaro ni bonge la Pastor na walio mfanyia hizo figisu hawana roho wa Mungu ndani yao.
# Baba Kimaro kama unasoma UJUMBE huu please tunaomba tunaomba ufungue kanisa lako.
Siku 60 ni nyingi sana.
😭😭😭😭😭😭
Kwanini wakimbilie huko?Nilijua tu ipo siku watamtoa huyu baba... na watu wanavyokimbilia huko kijitonyama sababu yake ata sijui itakuaje. Anyway ni uamuzi mzuri... waumini hawapaswi kumzoea sana mchungaji.
Kwamba si mtii si kweli, hata kusimamishwa ametii hadharani na ame address viongozi wake kwa heshima zote. Hapo naona umetoa allegations nyingi za uongo ingawa mimi si muumini wa Lutheran!Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi...
Hapana. Jamaa alikuwa na kibri sana. Mimi nimemsikiliza mara nyingi. Hili la ibada ya mwisho sikuwepo. Ila amekuwa mtu wa madongo kwa wenzie na kutofuata taratibu. Anaongea mpaka wakati mwingine anapitiliza. Mi nadhani aanzishe tu Kanisa lake. Atapata waumini wengi tuKwamba si mtii si kweli, hata kusimamishwa ametii hadharani na ame address viongozi wake kwa heshima zote. Hapo naona umetoa allegations nyingi za uongo ingawa mimi si muumini wa Lutheran...
Wanalibeba kanisa maana yake Nini?Huyo Kimaro na Mgogo ndiyo wanalibeba kanisa, shida ni kwamba kazi ya Mungu lazima ipate upinzani wa shetani na hao wanao mletea figisu ndiyo mashetani wenyewe
Hilo ni tatizo na ugonjwa sugu, nadhani kunakuwa na vitu mfano wa vikoba, huwa nashangaa sana kwa hili.Nimezaliwa katika familia ya kiluteri na kupata hadi kipaimara ila mambo hata ya migogoro upande wa viongozi yalinikera ukifuatilia chanzo pesa afu michango karibia mitano lol niliamua niwe tu nasali kwa ukawaida kwa mashahidi wa yehova watu walio na upendo wa hali ya juu wakiyaishi maisha ya viwango ya kikristo kwa matendo.kwanza kkkt inashangaza eti mtu anaweza akaacha kanisa lake la kkkt mtaani ila akawa anaenda kusali usharika wa kimara eti kisa mchungaji wa kimara anamvutia swali je akifa huyo mchungaji utaendelea kwenda huo usharika????
Atoke akaanzishe kanisa lake mwenyewe, Makanisa nayo yana likizo, yaani mchungaji unakuwa umeajiriwa?kwani ni kampuni hiyo?uchungaji ni wito sio ajira,mtafanya watu wa act kua wachungaji ili waajiriwe nyie,jua ni kali sana mtaani 😂😂Kufuatia semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT KIJITONYAMA ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo...