Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kumbe wewe ni kilaza upande wa Dini. Hakuna Official Religions. Dini zilianzishwa na Binadamu. Yesu mwenyewe hakuanzisha Dini.Ndio ukweli wenyewe hata kama hautaki, its either uwe RC ama Muislamu ndio dini zinazotambulika kitaifa. Official religions of the nation.
Nilishawaacha na sirudiNiache na kanisa langu 😂😂
Hao hao Wana wa wanadamu mnategemea sadaka zao kuendesha maisha yenu,Na Shemasi Jimmy 0659 611 252
Naomba kutia neno juu ya kile kinachoendelea mitandaoni juu ya mchungaji Kimaro...
Mkuu ubarikiwe!Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.[emoji817][emoji818]
WARUMI 13KKKT wanamtania Mungu.
Mungu ameandaa semina kupitia mtumishi wake,wanaibuka watu kuitengua.
Mimi nipo na hili tu.
Mungu hadhihakiwi.
Mzee dini za kitaifa bongo ni hizo mbili, sijasema ndio dini nzuri au bora kuliko zingine ila ukigombea uraisi nje ya hizo dini mbili nchi hupewi.Kumbe wewe ni kilaza upande wa Dini. Hakuna Official Religions. Dini zilianzishwa na Binadamu. Yesu mwenyewe hakuanzisha Dini. Wakristo waliitwa hivyo kwa sababu walikuwa ni wafuasi wa Kristo. Kuna mambo usiongee mbele za watu watakuona kilaza. Au uwe unauliza. Kabisa unasema Official Religions? Tena unajifananisha na Dini ambayo daily inakuita Kafir, Gay n.k umesikitisha sana.
Kutii mamlaka gandamizi ni ushoga.WARUMI 13
Kila Mtu na aitii mamlaka iliyo kuu, kwasababu hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, na hiyo iliyopo imeamriwa na Mungu.
Mch. Eliona Kimaro hakuwa Mtii wa Mamlaka hata alipoonywa
Ana Option tatu (3)
1) Atubu na kurudi katika misingi ya KKKT
2) Aende katika kanisa linaloendana na taratibu anazopenda yeye kwakuwa yapo hayo makanisa
3) Aanzishe kanisa lake
Hakuna dini za kitaifa. Na catholic si dini labda imeanza siku hizi. Dini niMzee dini za kitaifa bongo ni hizo mbili, sijasema ndio dini nzuri au bora kuliko zingine ila ukigombea uraisi nje ya hizo dini mbili nchi hupewi.
As long as tumeelewana hilo halina shida ila sijawahi kuona mlokole akiongoza hili taifa.Hakuna dini za kitaifa. Na catholic si dini labda imeanza siku hizi. Dini ni
1. Christians
2. Moslems
3. Hindu
4. Traditional
Na kwa waislamu nako wana madhehebu yao kama matatu manne hivi.
Hiyo ipo kisiasa zaidi, na target ni POPULATION / IDADI YA WATU [emoji23]Mzee dini za kitaifa bongo ni hizo mbili, sijasema ndio dini nzuri au bora kuliko zingine ila ukigombea uraisi nje ya hizo dini mbili nchi hupewi.
Gandamizi ni too general. Gandamizi kwa nani? Kila taasisi ina taratibu zake na ni lazima zifuatwe as long as unajiambatanisha na taasisi husika. Wenye akili huamua kujiuzulu wanapoona kuna ukinzani kwa wanachoamini na kinachofanyika. Kama ungekuwa umeoa na mkeo au watoto wako wanapita mitaani kukusema vibaya sidhani ungesema ni uhuru wao wa kujieleza.Kutii mamlaka gandamizi ni ushoga.
This is why mpaka leo tuna katiba ya kipuuzi na tunachezewa na wanasiasa na bado mnamtegemea Mungu atawasaidia bila kutumia akili.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwanini huyo kiongozi asiongee na Mungu ili amrekebishe mtumishi mwenzie Kimario aache kuwapiga spana. Kwanini asingetumia njia hio instead of kumpa likizo bila kuomba.Mahakamani akafanye nini? Maana sisi wakristo tunaamini kwamba Hakimu wa haki ni Mungu. Haileti afya kiroho kwa mtumishi wa Mungu kwenda Mahakamani kudai haki anatakiwa amwambie Mungu kwa njia ya maombi kwani kwa Mungu hakuna lisilowezekana.
Kuna sehemu nlisoma uzi wako nikakuona unaonekana kujua baadhi ya mambo. But recently nimekuwa nikikutana na comments zako ambazo lugha yake ni kama hawa watoto waliomaliza kidato cha nne wakafail na wapo mitaani tu. Sielewi nini kimekupata ndugu yangu. Au pengine mimi ndo nlikosea kukufikiria hivyo. Tunahitaji sana watu wenye akili JF kama ilivyokuwa miaka yetu nyuma.Hamna watu kama hao jamaa, wana sadaka kama ugomvi na usipoenda Jumuiya umeisha.
Ndio maana kuna options.Kutii mamlaka gandamizi ni ushoga.
This is why mpaka leo tuna katiba ya kipuuzi na tunachezewa na wanasiasa na bado mnamtegemea Mungu atawasaidia bila kutumia akili.
Mlokole ni nani? Umewahi mwona Mchaga akiongoza hili Taifa? Umewahi mwona Mnyakyusa akiongoza hili Taifa? Umewahi mwona Mnyaturu akiongoza hili Taifa? Bado hujaona mengi ndugu yangu. Bado sana.As long as tumeelewana hilo halina shida ila sijawahi kuona mlokole akiongoza hili taifa.
Sijui kama atakuwa amekuelewa hapa. Sijui. 😁 Pana hitaji akili ya utulivu mtu aweze elewa.Ndio maana kuna options.
Mkuu ni vigumu SANA kubadilisha Mfumo wa Mamlaka, kama huamini Muulize hata MARTIN LUTHER mwenyewe aliyekuwa Padri na Mwanzilishi wa Lutheran
Au Waulize CHADEMA
''Join them na kutii or Leave them''
That's All.
Mkuu hujakosea kabisa ila huwa kama unanifuatilia kwa makini utakuja kugundua kuwa hoja ya mtoa mada ndio huwa inani guide kutoa response ya aina gani.Kuna sehemu nlisoma uzi wako nikakuona unaonekana kujua baadhi ya mambo. But recently nimekuwa nikikutana na comments zako ambazo lugha yake ni kama hawa watoto waliomaliza kidato cha nne wakafail na wapo mitaani tu. Sielewi nini kimekupata ndugu yangu. Au pengine mimi ndo nlikosea kukufikiria hivyo. Tunahitaji sana watu wenye akili JF kama ilivyokuwa miaka yetu nyuma.
AMINA, na Mungu akusaidieNilishawaacha na sirudi
Mchaga sijawahi kumuona na sidhani kama itakuja kutokea anytime soon. Hao wengine wote huenda ikaja kutokea maana ni makabila madogo madogo sana. Nafikiri makabila makubwa ndio huwa hayapewi kipaumbele sana.Mlokole ni nani? Umewahi mwona Mchaga akiongoza hili Taifa? Umewahi mwona Mnyakyusa akiongoza hili Taifa? Umewahi mwona Mnyaturu akiongoza hili Taifa? Bado hujaona mengi ndugu yangu. Bado sana.
Huko IG ni kawaida yake kupost mafundisho mara kwa mara.Kibri kipi bwana ukweli chuki tu ukweli usemwe Kimaro Ndo habari ya mjini tukubali tukatae Mimi ujue sikosagi vipindi vyake nikipata nafasi anatia faraja yule anafundisha nadhani wameogopa anawaoutshine Sanaa viongozi
Kuhusu picha ni vitu vidogo tafsiri zao Ndo zao yeye ukute hamaanishi wanavomaanisha
Ni wivu tu hakuna lingine wanadamu wanaangalia kitu kidogo sana Ndo wanakibeba kuliko mema yake
Si wangesubiri amalize semina kama wao Wana hofu na Mungu kweli!mtu amejipanga halafu mnamkatisha palipo na riziki hapakosi fitna
KKKT wamefeli Kwa hili