Maandiko sio kwaajili ya wakati ule tu, ikiwa kwa leo hii kuna mavazi yanayomtambulisha Mwanaume na yale yanayomtambulisha Mwanamke basi Biblia inazungumzia hayohayoUnayajua mavazi ya kiume yaliyokuwa yanavaliwa nyakati hizo..!?
Eti kufuata CalendarHayo mambo ya kusimuliana story za wanafunzi wa Yesu sijui walifanya hivi mara vile kila ibada yanaboa. Mtu lisaa lizima anasimulia habari za waefeso sijui wafarisayo huo ujinga nani anataka.
Jamaa ana wivu wa kike tu,,, na siku zote wivu huzaa dhambi ya fitina. Sasa aendeleze yeye hio ibada ya asubuhi ili sadaka ale yeye. 🤣🤣🤣Eti kufuata Calendar
Shetani anapanga na kupangua mbinu kila siku, nyie mmekaa mmeshikilia Calendar.
Maombi ya asubuhi na jioni,na semina
Ndivyo vinavyowafanya waseme amekiuka taratibu.
Hivi kuimba,kuomba na kujifunza neno ni dhambi??
KKKT wana moto wao special aisee.
Kwanini msimuombe huyo mungu amuinue tena matokeo yake mnaandamana hapo kijitonyama.Huko IG ni kawaida yake kupost mafundisho mara kwa mara.
Hata mimi huwa namfuatilia Bina,
Anaupiga mwingi mno.
Mungu kumuinua imekuwa nongwa.
Kimaro alishainuliwa na Mungu huyo..Kwanini msimuombe huyo mungu amuinue tena matokeo yake mnaandamana hapo kijitonyama.
Ndio maana hizi Dini huwa naziona michosho Tu.
Kama mnaamini Kati mungu muweza WA yote kwanini msimuombe awezeshe hili la kimaro arudishwe ? Mmebaki mnapiga kelele kama vichaa. Mnaenda kanisani kusali Kwa kumuangalia MTU na sio Injili. This is nonsense ndio maana makanisa mengi waumini wamekuwa kama misukule.
Kama kimaro kaonewa fanyeni maombi kumuomba huyo mungu awaadhibu hao viongozi waliomtoa na huyo mungu anrudishe hapo kijitonyama forcefully
Umemaliza.Binafsi naona kama Kiburi kimemzamisha akiwa kati kati ya jahazi la utumishi. Alitumia madhabahu ya Mungu kujijenga yeye binasfi na sio MWILI WA KRISTO. Ndio maana yeye akawa maarufu kuliko utakatifu wa waumini wake. kumbuka kipimo cha kazi ya mwaadamu aliyeitwa na Mungu ni matunda aliyoweza kuzalisha.[emoji817][emoji818]
Uwepo WA huyo Shetani ni dalili huyo anaeitwa mungu Hayupo na kama yupo Hana hizo nguvu nyie mataahila mnazoaminisha watu Yuko nazo.Eti kufuata Calendar
Shetani anapanga na kupangua mbinu kila siku, nyie mmekaa mmeshikilia Calendar.
Maombi ya asubuhi na jioni,na semina
Ndivyo vinavyowafanya waseme amekiuka taratibu.
Hivi kuimba,kuomba na kujifunza neno ni dhambi??
KKKT wana moto wao special aisee.
Wachaga si kabila kubwa kufika hata nusu ya Wasukuma. Ambao wametoa Rais. Wanyakyusa ni Kabila kubwa lenye Jiji nchini halifikii Wasukuma.Mchaga sijawahi kumuona na sidhani kama itakuja kutokea anytime soon. Hao wengine wote huenda ikaja kutokea maana ni makabila madogo madogo sana. Nafikiri makabila makubwa ndio huwa hayapewi kipaumbele sana.
Sasa kama ameinuliwa na mungu na hakuna WA kumshusha kwanini watu wanabeba mabango arudishwe. Si wasubiri mungu atamrudisha ??!!!! [emoji1] Yani hizi Imani zingine ni upuuzi Sana.Kimaro alishainuliwa na Mungu huyo..
Hakuna atakayemshusha.
Mungu ana sifa ya kujipambania mwenyewe .
Peleka huo ushauri kwa kijitonyama.
Mimi si mlutheri na wala sipo kijitonyama.
as long as upo kkkt kama mchungaji unatakiwa kufuata taratibu za huko, au la ondoka. huwezi kuwa kijitonyama ukalifanya kama lile kanisa ni independent of others wakati hata pale wee umehamishiwa tu kama mfanyakazi.Jamaa ana wivu wa kike tu,,, na siku zote wivu huzaa dhambi ya fitina. Sasa aendeleze yeye hio ibada ya asubuhi ili sadaka ale yeye. 🤣🤣🤣
Mkuu umesema jambo sahihi wengi wanalolipita kama hawalijui ilhali wanapaswa kulijua. Tumia njia sahihi kubadili mfumo, ukishindwa ungana na mfumo na ukishindwa zaidi achana nao. Ukilazimisha sana ukubali purukushani za uasi.Ndio maana kuna options.
Mkuu ni vigumu SANA kubadilisha Mfumo wa Mamlaka, kama huamini Muulize hata MARTIN LUTHER mwenyewe aliyekuwa Padri na Mwanzilishi wa Lutheran na vita alivyopitia
Au Waulize CHADEMA
''Join them na kutii or Leave them''
That's All.
Ndio sio mtii angekuwa mtii asingesema imemlazimu..................Kauli haiendani na dhima
Kuna sehemu amesema Kimaro siyo mtii?
Yaelekea wewe hujui mchungaji/padre/Askofu nae ni mtu anahitaji kupumzika au unadhani nao wanafanya kazi ndogo? Ndio huenda likizoAtoke akaanzishe kanisa lake mwenyewe, Makanisa nayo yana likizo, yaani mchungaji unakuwa umeajiriwa?kwani ni kampuni hiyo?uchungaji ni wito sio ajira,mtafanya watu wa act kua wachungaji ili waajiriwe nyie,jua ni kali sana mtaani 😂😂
ndio maana nilienda zangu mashahidi wa jehova
Ha ha ha ha kabisa kuandika KKKT hawezi ajiendee likizo na mchungaji wakeHata kuandika KKKT huwezi ndugu yangu,wewe sio muumini wa kanisa hili...mchungaji wako yupo likizo,na wewe nenda nae likizo usisali.
mbona sasa hakuna huwa anahubiri, ni motivational speeches tu ambazo hazisaidii na anatafuta to popularity na kupiganiwa na watu. kwanza akaokoke ndio mengine yafuate.Kimaro alishainuliwa na Mungu huyo..
Hakuna atakayemshusha.
Mungu ana sifa ya kujipambania mwenyewe .
Peleka huo ushauri kwa kijitonyama.
Mimi si mlutheri na wala sipo kijitonyama.
Mungu yupi anayeruhusu vurugu makanisani ?Jiuadhari usijekupigwa na Mungu
yaani kwa kimaro anahuburi mambo ya kimungu? ile ni motivation speech na anatafuta umaarufu kwa watu, sio kwa Mungu. ndio maana nasema kwanza aokoke na atafute hekima. kama wewe unaona waumini wanataka kusambaratika halafu hatoi tamko, anaacha tu wampiganie?Mungu yupi anayeruhusu vurugu makanisani ?
Kwahiyo hakuna MunguLa martin Luther
Kama ni hivyo basi hupaswi kuchangia chochote kuhusu kanisa hiliNdio maana yake