Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Jiwe hili zito limenipata mimi Ponjoro wa Kinondoni nasikilizia maumivu.
1. Nabii= Mwamposa (tapeli)Jiwe hili zito limenipata mimi Ponjoro wa Kinondoni nasikilizia maumivu.View attachment 3396961
unasoma biblia kweliNafkiri na yeye asingeongea kwa mafumbo. Hakuna nabii wala mtumishi wa Mungu ktk Biblia aliwahi kuwa mtu wa mafumbo.
Hatari sana.1. Nabii= Mwamposa (tapeli)
2. Mfalme = ni Samia (Rais)
3. Anayemwambia mfalme= Sheikh (jina nimelisahau)
4. Mwamposa na Samia= wanaanguka wote
Kitabu cha Ufunuo tu ni mafumbo ya kutosha , manabii wengi tu waliwasilisha ujumbe wao kwa lugha mficho na walielewekaNafkiri na yeye asingeongea kwa mafumbo. Hakuna nabii wala mtumishi wa Mungu ktk Biblia aliwahi kuwa mtu wa mafumbo.
Atakuwa hajui huyu.Kitabu cha Ufunuo tu ni mafumbo ya kutosha , manabii wengi tu waliwasilisha ujumbe wao kwa lugha mficho na walieleweka
Hata Yesu aliongea kwa mafumbo sana tu kasome Biblia upya
Nitajie nabii gani kwenye biblia aliwahi kumtamkia mafumbo mfalme. Iwe ni Daniel, Eliya Mtishbi, Elisha n.kKitabu cha Ufunuo tu ni mafumbo ya kutosha , manabii wengi tu waliwasilisha ujumbe wao kwa lugha mficho na walieleweka
Hata Yesu aliongea kwa mafumbo sana tu kasome Biblia upya
Nitajie nabii gani kwenye biblia aliwahi kumtamkia mafumbo mfalme. Iwe ni Daniel, Eliya Mtishbi, Elisha n.kunasoma biblia kweli
Yesu alikuwa anaongea kwa mafumboNafkiri na yeye asingeongea kwa mafumbo. Hakuna nabii wala mtumishi wa Mungu ktk Biblia aliwahi kuwa mtu wa mafumbo.
Atakua asomagi Bibleunasoma biblia kweli
Nafkiri na yeye asingeongea kwa mafumbo. Hakuna nabii wala mtumishi wa Mungu ktk Biblia aliwahi kuwa mtu wa mafumbo.
Mbona hata yesu aliongea kwa mafumboNafkiri na yeye asingeongea kwa mafumbo. Hakuna nabii wala mtumishi wa Mungu ktk Biblia aliwahi kuwa mtu wa mafumbo.
Tunazungumzia habari ya nabii kuzungumzia ujumbe wa kitaifa na sio mafundisho ya makuzi ya kiroho.Biblia ya wapi unayoiongelea wewe. Kama ni mkatoliki unatakiwa uende japo kwenye mafunzo yale ya awali katekisimu.
Tangu kale, hata Madiha Kristo, aliwafundisha watu kwa mithali na mifano, hadi mitume wake mara kadhaa walimwuliza kupata ufafanuzi. Naye akiwajibu aliwaambia kuwa anafanya hivyo ili wale wa shetani, wasikie lakini wasielewe, watazame lakini wasione.
Hakuna kitabu katika biblia kilichoandikwa kwa mafumbo mengi kama kitabu cha ufunuo.
Mwamposa ana support matendo ya utekajiJiwe hili zito limenipata mimi Ponjoro wa Kinondoni nasikilizia maumivu.View attachment 3396961
Hapana hili ni directJiwe hili zito limenipata mimi Ponjoro wa Kinondoni nasikilizia maumivu.View attachment 3396961