Mchungaji Emmanuel Rajabu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato atupa jiwe gizani

Mchungaji Emmanuel Rajabu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato atupa jiwe gizani

Naona unahitaji zaidi kubishana lakini sio facts. Ndo maana nimekwambia nitajie Nabii gani aliongea kwa mafumbo kwa mfalme? Nathan alimface mfalme uso kwa uso na ule mfano/fumbo Nathan alianza nao ili uje kumuelewesha zaidi mfalme dhambi yake ni kubwa kwa namna gani na imeathiri vipi jamii. Na yamkini bila ule mfano Daudi angekataa kosa lake ndo maana Nabii akaanza kule ila ukweli unabaki palepale, Nabii alimwambia dhambi yake mfalme, je huyo unayemtetea hapa baada ya kuongea kwa fumbo ameweka uwazi wa kosa kwa anayemlenga?
Nabii Nathan aliongea kwa mafumbo kwa mfalme Daudi. Rejea kisa cha mfalme Daudi na Uria.
 
Kwenye biblia kuna Nabii Samweli aliwahi kumchinja na kumkatakata vipande Mfalme aliyeshindwa vita na waisrael. Tukisema tufuate mambo ya kidini ndo hatari zaidi. Kama kuna jambo baya limetamkwa tupitie mahakamani kudai haki. Someni 1 Samweli 15:33
 
Back
Top Bottom