HahahaaaHapana hili ni direct
Nabii Nathani na Daudi baada ya mfalme Daudi kumuua Uria na Kisha kumtaa mkewe.Nitajie nabii gani kwenye biblia aliwahi kumtamkia mafumbo mfalme. Iwe ni Daniel, Eliya Mtishbi, Elisha n.k
HahahaaaAfadhali.
Kama hadi wasabato uvumilivu umeanza kuwashinda basi imekuwa too I much.
Maana hao wadau wanakulaga buyu sana kama vile mambo hayawahusu.
Nabii Nathan, rejea kisa cha Daudi na Uria.Nitajie nabii gani kwenye biblia aliwahi kumtamkia mafumbo mfalme. Iwe ni Daniel, Eliya Mtishbi, Elisha n.k
Mene, mene, tekel.Nitajie nabii gani kwenye biblia aliwahi kumtamkia mafumbo mfalme. Iwe ni Daniel, Eliya Mtishbi, Elisha n.k
NAAMNchi inavuja Damu pengine kuliko wakati wowote ule.
Nje ya mada.Hawa jamaa walishawahi kutabiri hadi siku ya mwisho na wakafeli.
Ikaitwa Great Disapointment.
Bilashaka kuna kitu umejifunza kupitia hilo.Nje ya mada.
Sijajifunza chochote, anzisha uzi hapa tunajadili jiwe hili.Bilashaka kuna kitu umejifunza kupitia hilo.
Uzi ulishaanzishwa.Sijajifunza chochote, anzisha uzi hapa tunajadili jiwe hili.