Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======

"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima

"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"

"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.

°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!

°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.

°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.

FB_IMG_17487807574305502.jpg
 
Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======

"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima

"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"

"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.

°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!

°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.

°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
Acheni ukafiri wenu!
Mjinga Mmoja Wewe ,Mnafiki mkubwa usokua na Haya ,pumbavu.

Gwajima umemjua Leo??

Alivyokua anamzodoa Magufuli ,mpaka Makonda anaingilia , ulikua hujazaliwa??.
 
View attachment 3352773
Gwajimaticum Utekajinata.

Kama hakuthubutu tuoneshe wewe ulithubutu wapi.
 
Wewe si mwanachama wa CHAUMA? Au ni kweli Chauma niwi tu.
 
Mkuu, kama hata hili umeshindwa kujua, sasa wewe unaweza nini?

Hakuna mtu alimpa Magu headache kama Gwajima.

Kweli mwanadamu ni mwepesi wa kusahau mambo!

Bahati nzuri fb, insta, twita na youtube vimejaa ujumbe wake dhidi ya serikali wakati huo.

Wake up!
 
Mjinga Mmoja Wewe ,Mnafiki mkubwa usokua na Haya ,pumbavu.

Gwajima umemjua Leo??

Alivyokua anamzodoa Magufuli ,mpaka Makonda anaingilia , ulikua hujazaliwa??.
Weka, hapa!, ushahidi,angemkosoa tusingekuwa naye!,
I DOUBT SUKUMA GANG IPO, CHINI CHINI.
 
Back
Top Bottom