Ulikuwa hujazaliwa?Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
Mnataka wafumbie macho uhalifu na ushetani mnaotekeleza dhidi ya wananchi - uonevu, ufisadi, utekaji, ubakaji, mauaji, kesi bandia, wizi wa uchaguzi, nk.°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
Azizungumzie Awamu zote basi...Hata kama alinyamaza awamu ya tano akiwa mjinga, haimaanishi aendelee kuwa mjinga awamu hii. Hizo ni hoja za kijinga.
Apewe majibu gani!??Mpeni kwanza majibu yake Gwaji boy.
Awamu ya Tano Gwaji boy ni miongoni mwa watu waliopimwa mkojo na hata makazi yake kuzingirwa mara kadhaa na Polisi.
Au umesahau Mkwara wa JPM dhidi ya Gwaji boy wafuasi wake walipotaka kwenda naye kisutu?...mnasahau haraka.
Pamoja na yote tusimame upande wa haki, Nchi imetekwa na kakikundi kidogo cha watu ambacho kinataka kuscam watu wote.
A
Aliukosoa utawala wa Magufuli na aliwindwa kwelikweli ili wamuue...
Nakumbuka siku moja alitoa stori kuwa, alikuwa Arusha na wauaji wa Magufuli walimvizia huko huko ili wamfanyie kitu mbaya...
Kwa kuwa ilikuwa ngumu kumvizia kwenye shughuli zake majukwaani, walimvizia kumkamatia barabarani....
Ilitolewa amri atiwe ndani siku hiyo. Kukatandazwa mapolisi na roadblock njia nzima toka Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani hadi DSM kuhakikisha wanamkamata...
Askofu Gwajima alijua kila kitu. Alilazimika kukwepa kila kiunzi kwa kutumia bodabodakila alipofika kwenye kiunzi cha Polisi na kukutana na gari yake mbele hadi alivyofanikiwa kuwakwepa wauaji wote waliotanda barabarani na kufika DSM salama...
Kesho yake alikwenda mwenyewe ofisini kwa Afande Kova (wakati huo RPC na Paul Makonda akiwa RC- DSM na wamepewa kazi ya kummaliza Askofu huyu) na kumwambia kuwa nasikia mnanitafuta, nimekuja sasa. Mnasemaje..?
Kilichofuata na story. Walimwekea sumu ya kumfanya a - paralarize na sumu ile ilimpata vyema lakini Mungu alimponya na kumwokoa nayo...
Hii ndiyo video yake 👇👇
View: https://youtu.be/gKYngGejBVc?si=Fqhp6xAXjcz50Si5
Lisu hakukimbia nchi bali alipigwa risasi 38 na 18 zilimpata, ili kunusurisha maisha yake alipelekwa nje. You are a congenital liar.Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
Miaka 10 imetumika kutengeneza hao "hechmen".Lisu hakukimbia nchi bali alipigwa risasi 38 na 18 zilimpata, ili kunusurisha maisha yake alipelekwa nje. You are a congenital liar.
Ulimboka, Absolum Kibanda nk wengi waliianza kutekwa awanu ya nne, na viroba baadhi vilianza wakati huo, kwa kuokotwa baharini na Mwendapande. Grow up
Last, CCM ni ugonjwa, System, Mafia, hasa kuanzia JK kila mtawala amejitengenezea system ya kujilinda, kuwa na henchmen ili kuhakikisha continuity. Hii awamu kama ya JK ni ku- hold grip for power kutengeneza Wealth na ku-consolidate, for the like of Billionea JK, Aziz, Abdul ——— the list goes! Fungua macho
Yote hayo hapo sina uwezo nayo kwa kuwa 99% ya wananchi hawawezi kukuelewa ni hesabu ndefu kwao. Lakini hii ya Gwajima ni real, kwenye utekaji who is next? Tupo hatarini wote.
Who are the culprits ? Obviously Mchengerwa, JK, Abdul and the King Maker
Acha unafiki..... Gwajima alikuwa anaongea hadi makonda akatengeneza video fake ya ngono......Ila kuna ukweli,kwa nini alikaa kimya kipindi kile?
Sawa mnafikiAcha unafiki..... Gwajima alikuwa anaongea hadi makonda akatengeneza video fake ya ngono......
kwanza amesema amechoka kunyamaza, pili kipindi cha magu aliongea hadi aliwekwa ndani hadi alipelekwa TMJ hadi walitaka wampe sumu. fumba tu mdomo mchafu huo.Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
Mdini wewe au hukuwepo awamu ya tano ?Maneno ya Gwajima leo! ⏬

Kumbe una jua kuwa ukikosoa unakufa sasa si ndicho anacho kiendeleza mama yenuWeka, hapa!, ushahidi,angemkosoa tusingekuwa naye!,
I DOUBT SUKUMA GANG IPO, CHINI CHINI.
Halafu cha kushangaza huyo wanamfanyia uchawa alikuwepo hiyo awamu.Nyie kila mkipigwa mnakimbilia awamu ya tano
Awamu ya tano ndo kichaka chenu