akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
Hawamu ya 5 ilikua hawamu ya Shetani?Wakati wa mungu ndio nyakati nzuri zaidi. Na huu ndio wakati wa kuzungumza ukweli.

Umeanza kumjua Gwajima juzi baada ya press .Hawamu ya 5 ilikua hawamu ya Shetani?
Sasa amenyanyua baada ya dhuluma kukithiri, unasemaje? Na siyo kila kitu kifanyike kwa mazoea!Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
Suala lipo jikoni linashughulikiwa, maana hata bw. Bashe ameshalipigia kelele!, kuna jambo liko njiani, kudhibiti hali hii.Hivi mada kama hizi ndio majibu ya hoja za gwajima?
CCM, Tunanjia zetu za vikao pale jambo la kukera linapotokea, kuna taratibu zetu za vikao na mwenyekiti wetu, hatupayuki, mf. Bw. Bashe ameshalinenea suala hili, lakini ni kwenye vikao, hatuna hulka za trumpets!Unanufaika na utekaji mpaka unune mtu kuukataa?
Pumbavu kabisaCCM, Tunanjia zetu za vikao pale jambo la kukera linapotokea, kuna taratibu zetu za vikao na mwenyekiti wetu, hatupayuki, mf. Bw. Bashe ameshalinenea suala hili, lakini ni kwenye vikao, hatuna hulka za trumpets!
Wanaosema Gwajima hakuongea awamu ya tano bilashaka niwasahaulifu au pengine wana agenda yao nyingine au wanamjua anayetajwa na Gwajima hivyo wanamkingia kifuaManeno ya Gwajima leo! [emoji675]
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
HahahahaaaPumbavu kabisa
WakaManeno ya Gwajima leo! ⏬

Wakati wa Magu, shughuli ziliendelea na ufisadi haukuwepo kwa kiwango hiki. Maendeleo kwa wananchi wa chini, ambao ndio wengi katika jamii ya kitanzania yalikuwepo. Uzembe kazini ulikomeshwa. Ziara zisizo na maana kwa watumishi wa umma ambazo humaliza pesa hazikuwepo, pamoja na matumizi yasiyo na tija hayakuwepo.Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
Kuna watu wengi makazin huko wanavyeti ila utendaji ni zero.Weka hapa, pia haziwezi kuwa hoja zenye uzito wowote, yule alimwambia tuonyeshe vyeti vyako, akamezwa mazima, hatari sana,
N. B, Magufuli alikuwa hata kwa tetesi tu za umbea anakufyeka!
Hiyo awamu unayosema ilikuwa ni hatari zaidi, wewe ulishawahi kuongea chochote?°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
Ulikuwa kwenu Kibaigwa au? Mbona alikuwa anaongea kama kawaidaManeno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
RubbishManeno ya Gwajima leo! ⏬

Argument ya mipumbavu hii,,, jitahidi uwe unatumia akili yako vizuri kama ipo.Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
°Gwajima unavunja kanuni za leseni yako!
°Ipo haja kwa wizara ya mambo ya ndani kukaa na watumishi wa kiimani kuwarejesha kwenye njia zao! za kikanuni.
Aliukosoa utawala wa Magufuli na aliwindwa kwelikweli ili wamuue...Maneno ya Gwajima leo! ⏬

Kumbe mpaka unapicha za matukioManeno ya Gwajima leo! ⏬

Maneno ya Gwajima leo! ⏬

Mnafiki mkubwa. Hata hivyo, bila magufuli kulipendelea, lingekuwa hapo?Maneno ya Gwajima leo! ⏬

Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?
Nyie na chawa wenzenu ni wasahaulifu au wanafiki wakubwa.Gwajima nae asituchanganye ni mtu wa kuangalia maslahi yake binafsi, wakati wa Magufuli watu wengi walipotea alikaa kimya au kwa kua Magufuli alikua msukuma mwenzake?
Asilete ukabila wake
Anafaidikaje kwa sasa kukemea utekaji?Gwajima nae asituchanganye ni mtu wa kuangalia maslahi yake binafsi, wakati wa Magufuli watu wengi walipotea alikaa kimya au kwa kua Magufuli alikua msukuma mwenzake?
Asilete ukabila wake