hagau
JF-Expert Member
- Dec 17, 2023
- 1,632
- 5,566
Aliacha kunyang
Aliacha kunyanyua mdomo kwa sababu alionaManeno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
Acheni ukafiri wenu!
Serikali ikitekeleza mambo ya maslahi kwa Taifa. Note: TANZANIA KWANZAManeno ya Gwajima leo! ⏬