Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mjinga Mmoja Wewe ,Mnafiki mkubwa usokua na Haya ,pumbavu.Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
Acheni ukafiri wenu!
Hivi wewe Kenge maji.... Mshampa Gwajima majibu yake?°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
Acheni ukafiri wenu!
Aisee Kuna watu ni zero kabsaaWajima ametoa hoja . Hatuhitaji ulinganishi wa awamu hapa ! Mjibuni gwajima. Msilete viroja vya hoja hapa
Gwajimaticum Utekajinata.Maneno ya Gwajima leo! ⏬
=======
"Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima
"Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa Sababu sikuwa na lengo la kumuaibisha Mtu"
"Lakini napoona utekaji watu wanapotea na mimi nipo kwenye Taifa langu Jambo hili haliwezi kukubalika hata Mara Moja" Amesema Askofu Josephat Gwajima June 1,2025 Kanisani kwake.
°Maswali, katika awamu ya tano tulishuhudia wingi wa maiti zikiwa kwenye viroba, zingine baharini, LAKINI ULIKAA KIMYA!
°Awamu ya tano ndicho kilichokuwa kipindi cha hatari zaidi kiasi wanasiasa uchwara jamii ya lissu, na Lema, walikimbia nchi hii.
°Mnamchokonoa Rais wetu kwa sababu mna muona ni mpole mno? Au kwa ajili ya jinsia yake?
Acheni ukafiri wenu! View attachment 3352773
Fikiri kwa kina!Hivi mada kama hizi ndio majibu ya hoja za gwajima?
Ponjoro wanatafuta pa kijifichaNyie kila mkipigwa mnakimbilia awamu ya tano
Awamu ya tano ndo kichaka chenu
Weka, hapa!, ushahidi,angemkosoa tusingekuwa naye!,Mjinga Mmoja Wewe ,Mnafiki mkubwa usokua na Haya ,pumbavu.
Gwajima umemjua Leo??
Alivyokua anamzodoa Magufuli ,mpaka Makonda anaingilia , ulikua hujazaliwa??.