Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

Weka hapa, pia haziwezi kuwa hoja zenye uzito wowote, yule alimwambia tuonyeshe vyeti vyako, akamezwa mazima, hatari sana,
N. B, Magufuli alikuwa hata kwa tetesi tu za umbea anakufyeka!
 
Weka hapa, pia haziwezi kuwa hoja zenye uzito wowote, yule alimwambia tuonyeshe vyeti vyako, akamezwa mazima, hatari sana,
N. B, Magufuli alikuwa hata kwa tetesi tu za umbea anakufyeka!
Weka, hapa!, ushahidi,angemkosoa tusingekuwa naye!,
I DOUBT SUKUMA GANG IPO, CHINI CHINI.

Itoshe tu kusema unastahili kupuuzwa.

Kuna vitu vya kupinga, lakini siyo jambo la wazi kama hili.

NB: Hakuna mtu umemwajiri akufutie ujinga wako. Kama huwezi kwenda huko youtube nk, kujiaminisha mwenyewe, baki na uzwazwa wako hivyo hivyo.
 
During 5th phase, he had a mosquito on his testicles!
 
Umeongea yote ila hapo kwenye ukafiri umeonesha uko kidini zaidi.
 
Kazi mnayo, ameapa kula sahani moja nanyi
 
Acha kuhalalisha mauaji kwa kulinganusha nyakati, mzanzibar anatuua watanganyika na huo ndo ukweli usio pingika
 
HIVI POINT IKO WAPI
WATU WANAPOTEA AU HAWAPOTEI?? JE AMEONGEA AU HAJAONGEA??

UKIWA CHAWA UNAKUA ZUZU, HUNA AKILI TENA LISSU ALIKIMBIA AU ALIENDA KUTIBIWA BELGIUM?

KWELI KUWA CHAWA ANGALI WEWE NI MWANAUME NI KAMA UNAMUUZA MKE WAKO,...
NASEMA TENA HAKUNA CHAWA WAKIUME AMEOA HASALITIWI NA MKE WAKE
 

Usijali ndio kaona sasa hivi muda sahihi!
 
Gwajima nae asituchanganye ni mtu wa kuangalia maslahi yake binafsi, wakati wa Magufuli watu wengi walipotea alikaa kimya au kwa kua Magufuli alikua msukuma mwenzake?
Asilete ukabila wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…