Sasa naanza kukuelewa, kumbe tatizo ni utajiri wake. Kwahiyo mnatamani aishi kama shetani. Ujue siku RAIS anatamka hii kauli nilijiuliza mambo mengi sana.
- Ni mchungaji feki, mfanyabiashara kupitia kanisa, huyu kalelewa vibaya, sasa ni wakati mwafaka kwa serikali kumtolea uvivu, haiwezekani mchungaji anakuwa vocal kiasi hiki kwa kiongozi wa serikali, noooo, nooo
Bangi mbayaSalaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Utamtambuaje huyu Mchungaji ni original?
- Ni mchungaji feki, mfanyabiashara kupitia kanisa, huyu kalelewa vibaya, sasa ni wakati mwafaka kwa serikali kumtolea uvivu, haiwezekani mchungaji anakuwa vocal kiasi hiki kwa kiongozi wa serikali, noooo, nooo
Una arrogance ya jamaa wa kijitonyama.Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Usingekuwa ukweli angekuwa Segerea. Chezea misifa we we!!!!!Kasema ukweli kwa ushahidi upi?
[emoji23] umeshachukua buku 7 yako au umekopwa?? Huu mchezo hautaki hasiraSalaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Unaweza kunisaidia link alipopublish andiko lake japo nilipitie. Maana nipo mbali sana na hicho chuo.Nenda UDSM kaulizie; Hii ya Gwajima ni fake from the fake fakes! Kibaya zaidi ni mtu wa Mungu kuendelea kujiita DR. Wakati Taasisi iliyompa hiyo " Honorary PHD" Haitambuliki popote! Mamlaka zote za Afrika Kusini Haziitambui hiyo Taasisi Feki.
Unajifurahisha mkuu. Ndio maana M/Mungu akaona kuwa akili yako ni hafifu ndio maana hujapewa hicho cheo.Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
Hasira yako inatokana na nini hasa!! Kufichua ukweli na kuweka uthibitisho wazi ni kumchafua? Kujichafua kumchafua mwenyewe Bashite' kwa kufoji vyeti si vinginevyo' wengine waliwajibishwa! yey Bashite kwanini asiwajike mnamlilia kwa kujenga nni kwa taifa hili?wote waliokwisha ondolewa kzn kwa kufoji walundishwe' na sheria kuhusuana na vyeti vya kufoji zifutwe' ngoma ipelekwe kimagumashi magumashi kibashite zaidi.Salaam humu, nina hasira sana na Gwajima...
Laiti, mm ningekuwa RC Makonda, saa hizi Gwajima angekuwa maabusu and behind unknown bars..
Serikali, kamateni huyu mchungaji feki, mmemlea sana, kaota mapembe, akijua yuko juu ya state.. Iweje Gwajima, anamchafua Mkuu wa Mkoa, Makonda kwa kiwango hiki, na asikamatwe? With immediate action, kamateni mhuni mchungaji feki, iwe funzo la milele..
HATUWEZI kuwa na mchungaji mhuni mhuni kuchafua viongozi wa serikali kutumia kanisa lake la kishetani. I wish ningekuwa RC Makonda, sitanii, Gwajima ungejuta, kamata huyu mhuni haraka.. Aaaaarrghh
Haiwezekaniki mchungaji feki huyo kumchafua RC kiasi hiki, no way, no how, not acceptable, lazima lazima heshima iwepo kwa viongozi wa serikali ikibidi kwa lazima, Who is Gwajima? Mandate ya kuchafua kiongozi wa serikali anapata wapi? I was offline for 2 weeks, namuona Gwajima anaachiwa kucheza hovyo, piga ndani huyu mhuni mkubwa, ww Gwajima ww, jua wazi hauko juu ya serikali, na serikali inakujua ww kuliko unavyojijua, acha ujinga mara moja.. Aaaarrghh
alisema chifupa atamrejeshaThibitisha huo uongo wake acha porojo