Aisee kumbe wengine mmesoma kw kukariri,kwani akiwa na result slip si ni cheti pia?
Nyinyi mnawajua watumishi wote wanaosali kwa gwajima je kama wamempelekea ushahidi huo wa kuprint hata kama ni document sio cheti?pascally wewe nina wasi wasi utakuwa ni mhanga kama daudi bashite.
Hajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Kuna kupotezea piaKwa uongozi wa nyakati hizi, Kama hiki kitu alichosema Gwajima ni uongo, tarajia kusikia kesi ya kumdhalilisha mkuu au kuwekwa ndani saa 48 usiposikia hivyo jua kua kilichosemwa ni legit.
Nashangaa mtoa mada kuona amekosea halafu anasema yeye ni mkristo sasa sijui anasoma biblia ganiWote ni viumbe wa Mungu, sioni tatizo.
GWAJIMA muongo mnafiki mfinishaji na tabia mbaya zote zake hauwez kumuamini huyu mtu na kama adhabu yake achomwe moto adharani kama umemfuatilia zamani je unakumbuka kile ambacho alitaka kusema lakin mwaka wa ngapi yupo kimya?Safari hii mliopewa hela mmsafishe Makonda mtaumbuka sana.
Gwajima huwa anapiga panapouma siku zote na aliyepigwa huwa haachi kuweweseka
Sasa ni nani, roboti?Haiwezekani amuite Mkuu wa Mkoa kiumbe...ni kosa kubwa sana
Mtoa mada ni mtu fulani hivi healeweki na anatetea Chama dola ila aende kunyaaSijaelewa paschali ni kipi unatetea, kama suala la vyeti ni gumzo, kama makonda kweli anasingiziwa jambo hili kwanini kashindwa kuthibitisha kuwa wanamsingizia kwa kuleta ukweli wake?
Kuwa mchunga ng'ombe au mbuzi sio Tatizo, Tatizo hapa ni Alichoongea ni kweli au Si kweli. Na Kama sio kweli je ukweli unashindwa kuwekwa hadharani Kwa Sababu gani?Yule si mchungaji ni mchunga ng'ombe
Sasa mbona Lowassa na Maalim Seif wanaulilia sana urais? Kwa nini wasiwe wachungaji?
Unasumbuliwa na wivu. Unautaka ukuu wa mkoa?Kuwa mchunga ng'ombe au mbuzi sio Tatizo , Tatizo hapa ni Alichoongea ni kweli au Si kweli. Na Kama sio kweli je ukweli unashindwa kuwekwa hadharani Kwa Sababu gani?
Uongozi huu kupotezea? Jana kuna mmoja kaagiza mtumishi awekwe ndani kwa saa 48 kisa kazimiwa simu.kuna kupotezea pia
Back to the topicGWAJIMA muongo mnafiki mfinishaji na tabia mbaya zote zake hauwez kumuamini huyu mtu na kama adhabu yake achomwe moto adharani kama umemfuatilia zamani je unakumbuka kile ambacho alitaka kusema lakin mwaka wa ngapi yupo kimya?
Ukienda necta unakuta zero ipo una printHajasema ana matokeo, amesema ana vyeti mezani kwake, hivi kweli kuna cheti cha divisheni 0 ya miaka hiyo?.
Paskali
Paschal siyo yule wa siku zote.Nashangaa mtoa mada kuona amekosea halafu anasema yeye ni mkristo sasa sijui anasoma biblia gani