Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Nchi hii ina watu wajinga sana. Mtu anapoongelea matokeo ya mitihani na akasema Nina cheti cha mtu Fulani ina maana nyingi sana.

Inawezekana ana result slip, inawezekana ana copy tu hata ya vyeti vya shule vya kumaliza form four. Inawezekana ana list ya matokeo ya wanafunzi husika.
Ili mchungaji aelewke kiurahisi katumia neno Nina vyetu vya wahusika. Hajasrma ana vyeti vya Necta. Huo ni msemo tu.
 
GWAJIMA muongo mnafiki mfinishaji na tabia mbaya zote zake hauwez kumuamini huyu mtu na kama adhabu yake achomwe moto adharani kama umemfuatilia zamani je unakumbuka kile ambacho alitaka kusema lakin mwaka wa ngapi yupo kimya?
Sasa wewe na Gwajima yupi kamzidi mwenzie kwa unafiki na uzandiki?
 
Hawa watu kumbe ni kabila moja na wanatoka kijiji kimoja? huko hakuna wazee wa kusuluhisha hii mambo? busara inahitajika zaidi.

Hakuna cha kusuluhisha. Kuna suala la kupata ukweli kama kuna mtu zamani aliitwa Daud Bashite...
 
NECTA
 
Pascal Mayalla,

Wapo marais wengi Rais wa TFF nae ni Rais wapo mpaka marais wa manzese akina madii, pasco naona GSM na makonda wamejisogeza karibu umepigwa mpunga kwa style ile ile ya Steven Nyerere, hii sinema bado mbichi sana, Tambueni kuwa kila mtu ni Rais akiwa kwenye anga zake hata ww pasco ni Rais wa familia yako.
 
Gwajima hajasema yeye ni zaidi ya rais ,kasema mtumishi wa Mungu aliye hai ni zaidi ya rais, cheo cha mtumishi wa Mungu ni zaidi rais which is true kabisa.
Naunga mkono hoja kwa 100% huyo pasco kaamua kujitoa fahamu kama Steven Nyerere njaa mbaya sana.
 
Kumbe wewe kilaza hata kumsikiliza vizuri Gwajima umeshindwa .
Kasikilize tena utajua jina Makonda limeingiaje hapo.
 
Hata hivyoo kuitwa KIUMBE si kudhalilishwa. ifahamike kwa wasiojielewa
cc: pascal mayalla
 
Mkuu pasco kwa sasa amevaa viatu vya Steven Nyerere njaa zao wamezipenyeza humo humo kwenye kufa kufaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…