Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Inawezekana akawa nabii wa uongo.

Na atakuwa na pepo la Jezbel, maana ni muongo kweli kweli.

Tangu lini mtu uende shule aliyosoma rafiki yako ukaomba matokeo yake ukapewa??

Poleni kondoo mnaochungwa na tapeli.
 
Anauza madawa ya kulevya na Kudo mademu wa watu
 
JE WAJUA KUWA FREEMAN AIKAEL MBOWE NDIE FIRIMON GASTURA WA IHUNGO SEC??
-----------------------------------------------------------------

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni!

JINA LA KUZALIWA:- Freeman Aikael Mbowe.

ELIMU:

SHULE YA MSINGI:- Lambo-Moshi (Jina-Freeman Aikael Mbowe).

SHULE YA SEKONDARI (I-IV) :- Kibaha Sec-Pwani (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
- Inasemekana alihitimu Kidato cha Nne Mwaka 1979, akapata daraja la Nne (Failure).

SEKONDARI A'LEVEL:- Ihungo Sec-Bukoba.
JINA:- Firimon Gastura.
-Zingatia kwamba, Firimon Gastura alionekana akisoma Milambo Boys Kidato I-IV, wakati huo Freeman Aikael Mbowe akiwa Kibaha Sec.

N:B, Inasemekana kuwa Firimon Gastura hakumaliza masomo yake pale Ihungo kutokana na sababu mbalimbali (hazitaelezwa leo) lkn jambo kubwa ni kwamba baada ya muda Firimon Gastura alionekana Benk Kuu ya Tanzania (BOT) akiwa Bank Officer (mwajiliwa) wakati huo Gavana akiwa Mzee Mtei.

ZINGATIO:
Tunaendelea kujiridhisha na taarifa hizi kwa kutambua uhusiano kati ya Freeman Mbowe wa Kibaha Sec na Firimon Gastura wa Milambo Boys. Pia tunaendelea kujiridhisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe aliajiliwa BOT kwa kutumia jina la Firimon Gastura ikiwa hakumaliza Masomo yake. Na ni kwa namna gani Mtu mmoja anaweza kutumia Majina mawili tofauti ktk elimu kwa ngazi tofauti.
Ukweli ni kwamba, taarifa za Elimu ya Freeman Mbowe zina mazonge mengi lkn pia jitihada za kufichika kwake ni kubwa zaidi.
Tunaomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi ili kuweka kumbukumbu sawa!
Baada ya ukamilisho huu tutaitoa CV ya Freeman Mbowe ama Firimom Gastura hadharani!
Unapoishi ktk Nyumba ya Vioo, jitenge na Vita za Mawe!
Kwa ushirikiano wa Magoiga SN-Mwanza.
MIMI,
[HASHTAG]#NinamuungaMkonoRaisWangu[/HASHTAG],
[HASHTAG]#NinapigaVitaMatumiziNaBiasharaYaMadawaYaKulevya[/HASHTAG]!
MenukaJr.
 
1. Mchungaji Gwajima ni moja wa manabii wa siku za mwisho, ambaye alikuja na gia ya kufufua misukule (kuwarejesha kuishi watu waliokufa) style hiyo ilivuma sana na ikampatia waumini wengi sana walioongeza kipato chake cha sadaka na kumtajirisha.... nakumbuka.aliahidi kumrejesha Amina Chifupa, lakini sikumbuki kama alimrejesha kweli au laa.

2. Gwajima ni mtu wa kutoa maneno ya kebehi na matusi kwa watu waliomzidi umri au watu wanaopishana naye kimawazo na mtazamo. Alimtukana Baba Kardinali Pengo kama mtoto mdogo, lakini mtumishi yule wa Mungu Kardinali Pengo alionyesha Ukristo halisi na akamsamehe

3. Ndiye aliyeivunja ndoa ya Mbasha kwa kutembea na mkewe. Unaweza uka search humu humu ndani utapata nyuzi kibao zinazoelezea tukio hilo.

4. Ni mtu ambaye anaweza kukurushia pepo wakati wowote akiona umemmzidi nguvu ya maneno na maamuzi ktk mabishano yenu.


5. Ni rafiki na bwana yule aliyekuwa waziri halafu akalewa kisha akafukuzwa. Wanatoka kijiji kimoja hata kwenye msiba wa yule bwana alitumia helicopter yake. Yule bwana, askofu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wanatoka eneo moja. na yule bwana aliyefukuzwa anahisi mkuu wa mkoa anaweza akagombea jimbo lake 2020, na kwa hivi anakubalika zaidi yake, anaona atalipoteza jimbo, ndiye anayemtumia askofu amchafulie jina mwenzie ili yeye ajihakikishie jimbo
 
We jamaa kama siyo Gwajima mwenyewe basi ni muumini wake! Mtoa mada anamfananisha Gwajima na Mtikira Gwajima hawezi kumfikia Mtikira hata chembe, Gwajima anapata jeuri ya fedha alizokuwa nazo tu, hakuna kingine. Kunawakati Mch. Mtikira aliisha ingilia kati suala ka Gwajima kujidai amemfufua dada mmoja walikuwa wamekulanaye deal kumbe yule dada alikuwa anatarajia kuolewa siku za karibuni (kwa wakati huo) wazazi na mchumba wa yule dada walikuja juu sana mpaka kupelekana kwenye vyombo vya dora! Na kuna dada mwingine ana kama wendawazimu hivi maneno ya Ubongo NHC kuna watumishi wa Gwaji walitaka kumbaka kama kuku ili waende naye kanisani aonekane ni msukule lakini yule binti Pamoja na uchizi wake aliushtukia mchezo alipiga mayowe ikabidi wale watu wawekwe mtu kati katika harakati za watu kutafuta petroli za kuwapigia kiberiti ikawa bahati yao wakapokonyoka. Na suala la AC (Amino Chifupa) akadai anajua alipo na alikuwa anafanya taratibu za kumejesha, kwakweli alipiga promo ya kutosha watu wakawa wanajaa mpaka barabarani kushuhudia AC atakavyo rejeshwa ndiyo mpaka leo nahiyo ndiyo style yake ya kujaza watu akiona waumini wanapungua atazua la kuzua ili watu wamiminike kanisani kwake!
 
Hashinikizwi.ila aliahidi kumrudisha na bado tunangoja. Ahadi ni deni.

Basi tusichoke kungoja coz utatekeleza labda muda atakaotaka ukifika.
By the way hivi Bashite ashaweka vyeti hadharani au bado unakula bata sauzi kwanza.
 
Pigeni makelele mtakavyo lakini Daudi Bashite ni mchafu kuliko Hata wahasimu wake wanavyoweza kufikiria! Hasafishiki Hata kwa jiki katika hili! Cheti fake halafu anadhulumu magari ya watu kwa kuwachafua na madawa ya kulevya wakati kimada wake hamtaji! Tunakushukuru sana Mange Kimambi kwa kuanika ushahidi Wa nguvu dhidi ya tuhuma za rushwa kwa bashite!
 
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kuna video inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja aliyezaa mtoto na Josephat Gwajima ambaye haihitaji hata DNA kubaini kuwa ni mtoto wake kwa jinsi walivyofanana. Huu ni ushahidi mwingine kuwa Gajima anatumia kanisa lake vibaya kwa tamaa zake za kimwili.

Bado tunakumbuka jinsi alivyovunja ndoa ya Flora na mumewe Mbasha baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kuzaa naye mtoto. Ijapokuwa alitumia nguvu nyingi pamoja na mamilioni ya fedha kuzima moto huo, ila laana ya Mungu bado inamtafuna. Sasa amejitokeza huyu binti mwingine na kushuhudia jinsi walivyokuwa wanafanya tendo la ndoa madhabahuni. Sina hakika kama kitendo hicho ni masharti aliyopewa na waganga wake kama njia mojawapo ya kuongeza waumini.

Kwa haya yanayotokea kwenye kanisa la Gwajima, upo uwezekano kuwa wanandoa wengi wanaosali na kuhudumu kanisani hapo wameshiriki tendo la ndoa na Gwajima. Kuna uwezekano pia kuwa watoto waliozaa wana damu ya Gwajima. Kwa hali hiyo, kuna haja kwa waumini hao kupima DNA za watoto wao ili kujiridhisha kama ni wao. Na ikibainika kuwa watoto hao ni wa Gwajima, wamburuze mahakamani haraka sana.

Wito kwa Gwajima. Kutumia nyumba za ibada kwa tamaa zako za kimwili ni dhambi kubwa sana. Utajibu nini mbele ya Muumba? Dhambi za waumini wako wote wanaofuata imani yako utajitwisha wewe na hapo itakuwa ni kilio na kusaga meno.
 
Kuna haja pia ya bashitte kupima marinda..

-Halafu huyu mzee wenu mnafiki kweli..

-Kuna kitu gani kipo kati yake na yeye ?
- mzee kashikwa masikio hadi anapiga simu anajifanya anaipenda shilawadu huku wakiwa wameshajiset kumrusha Gwajima eti.

Wanachokosea ni kuwa gwajima hata azae na waumini wake wote its none of our business.

Ila bashitee lazima allete vyeti, alimtumbua Kabwe. Anyway not a big deal for now..
Issue bashite alete vyeti.
Kwa nn JP ananyamaza? Kanyweshwa nini kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…