Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anauza madawa ya kulevya na Kudo mademu wa watu1.Gwajima ni Mchungaji wa Kondoo wa mungu....
2.Ana Vyeti vya Daudi... (sio Daudi wa Goliath....namzingumzia wa Kolomije-Misungwi)
3.Yeye akiongea na watoto wake..... viongozi hukimbilia makanisa mengine kulia.
4.Ana Helkopta
5.Anategemea kununua ndege
JE WAJUA KUWA FREEMAN AIKAEL MBOWE NDIE FIRIMON GASTURA WA IHUNGO SEC??Askofu na Mchungaji Gwajima amekuwa moja ya watu maarufu na gumzo kubwa sana nchini. aina hii ya watu wapo duniani kote kwa Dini au Imani zote. Mtu wa namna hii unapoanza naye vita unapaswa kwanza kujichunguza. kuchukua muda mrefu kujichunguza wewe kwanza kabla hujaanza kumchunguza yeye na kuangalia udhaifu wake.
Tumemuona mara kadhaa Gwajima akisimama kuzungumza anachoamini pasipo kuuma uma maneno. Tumwona akimsema Laiyekuwa Rais wa Awamu iliyopita, tulimwona akisema Serikali iyopita kwa Ujasiri na kupelekea kupata matatizo kadhaa. Hakuishia hapo tu. aliwasema hata Viongozi wengine ambao aliamini walikengeuka kwa sababu moja au nyingine pasipo hofu kuwa nao wana jamii kubwa na yenye nguvu nyuma yao. Miaka ya nyuma alikuwepo Mchungaji Mtikila. huyu alikuwa na Roho hii pia miaka hiyo. alizungumza alichoamini pasipo kujali jamii kubwa inayomzunguka ina aamini nini.
Kuna haja ya Kujua Mchungaji Gwajima ni nani? ametokea wapi, ameishi katika mazingira gani, anaamini nini, ana elimu gani na kwa nini anajiamini.
tukifaham historia ya gwajima tutajiuliza ni kwa nini alitajwa kwenye uhusika wa kuuza au kujihusisha na madawa ya kulevya? alijiamini nini kusema kuwa akipimwa hata akikutwa ana kemikali za sigara/tumbaku au pombe iitwe ni madawa ya kulevya? wakati wa kupimwa walikuwepo akina nani?
habari zote kuwahusu viongozi mbalimbali au data zao na ujasili alio nao anaupata wapi? watu wa namna hii huongea yale ambayo wengine hawawezi kuongea. huamini kuwa wao ni chachu katika jamii fulani kwa maana ya kuwa wana mchango mkubwa sana. Ukienda kanisani kwa Gwajiama ana waumini wasomi, wasio na elimu dunia kubwa, walio na elimu dunia kubwa,matajiri na maskini. ukiacha waumini wa kanisani kwake. kuna ambao si waumini wa imani yake ila ni watu wanaoamini msimamo wake. na msimamo wa gwajima ni msimamo wa nyundo. hii ni karba au hulka ya watu ambao wao huamini katika kugonga kila amabcho kitakuwa kimewekwa chini yao. gwajima ni nyundo.
Gwajima huwezi ku dela naye kwa vitisho. unahitaji ku deal naye kwa hekima sana na maarifa. unapomtisha yeye huongeza mapambano. huyu ni aina ya watu ambao unaweza ukadhani ni wadogo sana lakini wana ushawishi fulan katika jamii. penda usipende wapo watu wa namna hii.
- TUSIMPENDE AU KUMCHUKIA Gwajima kwa sababu Alipishana na Askofu Pengo. Kuna ambao wanaendeleza chuki/unazi kutokana na hili. Askofu Pengo ni binadamu kama mimi na wewe ukiniweka mimi na yeye mbele za Mungu tu binadamu wote sawa. Labda ambacho kitamwongezea Credit ya Kupata Zawadi kubwa au Adhabu kubwa ni Je aliokoa au kupotosha wangapi? ila kama alizini atahukumiwa, kama alisema uongo atahukumiwa, kama alikuwa mnafiki atahukumiwa. hivyo hivyo kwa Gwajima. naye akisimamishwa na mimi ataangaliwa Ameokoa au Kupoteza wangapi..
- Tunapomwangalia Gwajima kwa kusema aliwah mtukana Ask Pengo na kuanzia hapo tukamwona hafai kwa sababu "alimtukana" au aliongea alichoamini kuhusiana na Askofu Pengo tunakosea sana. Tuangalie hoja zake peke yake. dini, imani na itikadi zetu zisiathiri jambo hili.
- Swali kuu na neno la Imani katika Mfungo huu wa Kwarezima. JE ANACHONGEA GWAJIMA NI UONGO? THIBITISHA UONGO WAKE/ASHTAKIWE HARAKA KWA KUPOTOSHA UMMA WA WATANZANIA.
We jamaa kama siyo Gwajima mwenyewe basi ni muumini wake! Mtoa mada anamfananisha Gwajima na Mtikira Gwajima hawezi kumfikia Mtikira hata chembe, Gwajima anapata jeuri ya fedha alizokuwa nazo tu, hakuna kingine. Kunawakati Mch. Mtikira aliisha ingilia kati suala ka Gwajima kujidai amemfufua dada mmoja walikuwa wamekulanaye deal kumbe yule dada alikuwa anatarajia kuolewa siku za karibuni (kwa wakati huo) wazazi na mchumba wa yule dada walikuja juu sana mpaka kupelekana kwenye vyombo vya dora! Na kuna dada mwingine ana kama wendawazimu hivi maneno ya Ubongo NHC kuna watumishi wa Gwaji walitaka kumbaka kama kuku ili waende naye kanisani aonekane ni msukule lakini yule binti Pamoja na uchizi wake aliushtukia mchezo alipiga mayowe ikabidi wale watu wawekwe mtu kati katika harakati za watu kutafuta petroli za kuwapigia kiberiti ikawa bahati yao wakapokonyoka. Na suala la AC (Amino Chifupa) akadai anajua alipo na alikuwa anafanya taratibu za kumejesha, kwakweli alipiga promo ya kutosha watu wakawa wanajaa mpaka barabarani kushuhudia AC atakavyo rejeshwa ndiyo mpaka leo nahiyo ndiyo style yake ya kujaza watu akiona waumini wanapungua atazua la kuzua ili watu wamiminike kanisani kwake!Watu mnaongea hisia zenu juu ya Askofu Gwajima.
GWajima mwenyewe hata hammjui.
MWenye uzi amesema wazi bila kumjua Gwajima huwezi kujadili chochote juu ya Gwajima.
Hisia zako juu ya mtu hazimfafanui mtu bali zinazidi kukupa vitendawili.
Who is Askofu Gwajima?
inajidhihirisha wazi hapa kwamba wachangiaji wengi hatumjui Askofu Gwajima.
Nilitegemea kuona vitu kama
Majina ya wazazi wake
Alizaliwa wapi na lini
Jina lake kamili
Ni mtoto wa ngapi
Shule ya msingi Alisoma wapi
Sekondari O level na A level alisoma wapi
Je aliwahi KUBASHITE
Jina la KIBASHITE
Lini alianza kuwa mchungaji
Chuo kikuu alisoma wapi
PhD yake ameichukulia wapi
Kaandika vitabu vingapi?
Nilitegemea kuona vitu kama hivyo na vikali zaidi.
Sasa naona maelezo yaliyo pwelea na kulegea kama mlenda ulochanganywa na mkunungu toka Dodoma.
Hivi lile soma la kuandika Wasifu wa mtu bado wanafundisha?
maana wengine tulikuwa form III miaka 40 iliyopita
WHO IS GWAJIMA?
Acheni kubwabwaja upupu hapa!
Hashinikizwi.ila aliahidi kumrudisha na bado tunangoja. Ahadi ni deni.
Pigeni makelele mtakavyo lakini Daudi Bashite ni mchafu kuliko Hata wahasimu wake wanavyoweza kufikiria! Hasafishiki Hata kwa jiki katika hili! Cheti fake halafu anadhulumu magari ya watu kwa kuwachafua na madawa ya kulevya wakati kimada wake hamtaji! Tunakushukuru sana Mange Kimambi kwa kuanika ushahidi Wa nguvu dhidi ya tuhuma za rushwa kwa bashite!
La Bashite mtalimalizaje? Nenda KolomijeNgoja Tumalize La Bashite, Lako Litafuata Lizaboni.
Toa cheti acha longo longo kama vipi nenda na wewe kwa Gwajima akuzalisheLa Bashite mtalimalizaje? Nenda Kolomije
Ndio yeye.Kwani lizaboni ndo bashite? pamba sec.
Wajinga wanamfuata shetani,kisha wanamtetea !Kwani ya Flora Mbasha aliitengeneza nani? Gwajima ni mchafu. Msimtetee na kumlinda
Hizi akili za maji taka. Wewe umezalishwa na nani?Toa cheti acha longo longo kama vipi nenda na wewe kwa Gwajima akuzalishe